Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
True,Nilichogundua mada za kiwack(mapenzi),Mahoka,Utunzi,Ucheshi ndio zinapendwa sana,Mada zenye mafunzo hazina wachangiaji,hata wewe ukiweka Mada sijui mpenzi wangu anataka nimle jicho naomba ushauri aisee utapata comments za kufa mtu ila anzisha mada zinazofikirisha hupati mtu watapita kimyakimya.
Halafu tuna mawazo ya Tz ya viwanda,
Tutaishia kuvichora kwenye makaratasi.
lol.