Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

ngoja nianze kuusaka ustar wakulike na kuchangia..... msiwe mnasahau kuni tag watoa mada aka nyuzzi
 
hiyo list ninpumba bila kumtaja hawa mafundi.

1.kiranga

2.pascal mayalla

3.Malcom Lumumba

e.t.c
 
Hii mada bila kunitaja mimi ni zero kabisa ....lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…