Orodha ya mastaa wa JamiiForums ambao wakipost ni hatari kwa likes na kuchangiwa hoja zao

Vip mbona umemsahau Ontario ..hukumbuki nyuzi zake za mwisho mwisho zilivyoiteka jf
 
# 6.yupo busy kilingeni anaagua,mpe muda kidogo
 
mkuu ungewatawanya kutokana na jukwaa
Hicho ndicho nilifikiri hata mm,huwezi kuongea kuhusu Jf upande wa teknolojia bila kumtaja Chief Mkwawa!unless unabase kwenye mambo yetu yale tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…