Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
mfyuuuuYani wewe una akili ya kutosha sana... Nimekukubali kama mama wa mzee wetu wa Chattle...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mfyuuuuYani wewe una akili ya kutosha sana... Nimekukubali kama mama wa mzee wetu wa Chattle...
Hapo umenisonya au umenibusu?mfyuuuu
busuHapo umenisonya au umenibusu?
we unataka ipi kati ya hzo mbili
duuh siamin mwanafunzi wangu ndo umekua mtaalam hvii wa kutuma pm hadi kwa mastar wa jf kama Mzigua
Yaani ticha hapa najifunza kuona PM zipo kweli...
Ila somo ni gumu mwalimu.
yoyote utakayonichagulia...we unataka ipi kati ya hzo mbili
Aiseeeyoyote utakayonichagulia...
ya pili bas[emoji23] [emoji23]yoyote utakayonichagulia...
mfyuuu ushamshinda mwalimu wako
hahaaa umemwona ee alafu anajifanya ye ni mzee[emoji23]Halafu naona kuna mtu anamzengea ticha wangu kumpa zawadi kama ya Nandy.
Well noted...ya pili bas[emoji23] [emoji23]
hahaaa umemwona ee alafu anajifanya ye ni mzee[emoji23]
Mi ni babu... hayo ya mzee umesema wewehahaaa umemwona ee alafu anajifanya ye ni mzee[emoji23]