Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
True my dear.Kuandamana kwenyewe hatuwezi acha tuchekeshane tu
LoL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True my dear.Kuandamana kwenyewe hatuwezi acha tuchekeshane tu
Nifungulie kufuli basi?Naomba uwe unaniulizia watu wengine wa maana kwangu hapa duniani
Ananiuliza sijui ni kifaa cha umeme kile mimi sijuiAsee sjawahi ona utoaji wa taarifa straight kama huu[emoji23]
SawaSawa mkuu...sory
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ananiuliza sijui ni kifaa cha umeme kile mimi sijui
Akiniulizia wewe najua,daby najua
Ahahahahahahha uwiiiii muombe Iceman labda ana ufunguoNifungulie kufuli basi?
Hahahah[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23]
Leo nahisi nimekuchekesha kweli,nakuchekeshaga bure tu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mi hoiii
Leo you did your bestLeo nahisi nimekuchekesha kweli,nakuchekeshaga bure tu
Awe ananiulizia G bana wengine hao siwajui mimiHahahah
Mpokeaji wa taarifa hujastuka?
Majirani :iceman unachekea nini jamani tuambie nasi tujueLeo you did your best
I love people who makes me lough
Acha kunizingua ujueAhahahahahahha uwiiiii muombe Iceman labda ana ufunguo
We acha tu..limenishuka hiloo[emoji24]Hahahah
Mpokeaji wa taarifa hujastuka?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si mbayaWe acha tu..limenishuka hiloo[emoji24]
Nimefunga pm mme wangu hataki umbeya shogaa anazisoma pm tena hivi team yake yanga imefungwa na waarabu nitakazwa kweli kwelii naogopa shoga amesema akiona umbea pm nakazwa kihuni ,maswala ya kuwekwa kiuno juu kichwa chini naogopaaAcha kunizingua ujue
HeheheMajirani :iceman unachekea nini jamani tuambie nasi tujue
Iceman:Mama Sabrina Star wa jf ananivunja mbavu
MxiueeeeeNimefunga pm mme wangu hataki umbeya shogaa anazisoma pm tena hivi team yake yanga imefungwa na waarabu nitakazwa kweli kwelii naogopa shoga amesema akiona umbea pm nakazwa kihuni ,maswala ya kuwekwa kiuno juu kichwa chini naogopaa
Kasema hanipigi atatumia kifaa chake kunipa adabu
Nachokupendeaga hapo tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] si mbaya
KaribuuuHehehe
Perfect scenes hapo
Shoga utaniponzaaaMxiueeeee