Doria Mtandaoni
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 461
- 934
Lugola na Kitila unaweza kuwasamehe kwenye hiyo orodha yako.
Hata jokate mwegelo alizaliwa marekani,lakini aliukana uraia wa marekani akaukumbatia utanzaniaWatoto wa Lissu hawajakana uraia bali ni raia wa Marekani kwa kuzaliwa.
Umemsahau Bashungwa.1. P. Katambi (Anashikilia Record)
2. Saada Mkuya (Wa fedha wakati wa Jakaya)
3. Hamis Kigwangalla
4. Nape Nnauye
5. Makame Mbalawa
6. Samia Suluhu Hassan (Kipindi cha Jakaya)
7. Joseph Mungai (Changanya Phisics na Chemistry na ufute agriculture)
8. Wilson Masilingi
9. Shukuru Kawambwa
10.Masauni
11. Mchengerwa
12. Kitila Mkumbo
13. Philipo Mulugo anasema Tanzania ni Muunganiko wa Tanganyika na Zimbabwe
14. Lazaro Nyalandu
15. Mwigulu Nchemba
16. Bazir Mramba
17. Mwijage
18. Kangi Lugola
19. Wiliam Ngereja
20. Jason Rweikiza
Hata jokate mwegelo alizaliwa marekani,lakini aliukana uraia wa marekani akaukumbatia utanzania
Lissu anataka kuwa rais wa tz, watoto wake siyo watz,mkewe anafanya kazi na hivyo kuishi nje ya nchi,acheni uzuzu nyinyi
Yaani tuwe na rais watoto na mkewe si raia wa Tanzania?..hivi chadema Wana akili kweliAje hapa mumpige vyuma nae
Sema unawachukia tu hao,, kuna jamaa moja ni tapeli full hata ongea yake ni tu unajua hapa tunapigwa🤣 🤣 simwoni hapa kwenye listi,,, na wizara yake nzito kwa taifa...1. P. Katambi (Anashikilia Record)
2. Saada Mkuya (Wa fedha wakati wa Jakaya)
3. Hamis Kigwangalla
4. Nape Nnauye
5. Makame Mbalawa
6. Samia Suluhu Hassan (Kipindi cha Jakaya)
7. Joseph Mungai (Changanya Phisics na Chemistry na ufute agriculture)
8. Wilson Masilingi
9. Shukuru Kawambwa
10.Masauni
11. Mchengerwa
12. Kitila Mkumbo
13. Philipo Mulugo anasema Tanzania ni Muunganiko wa Tanganyika na Zimbabwe
14. Lazaro Nyalandu
15. Mwigulu Nchemba
16. Bazir Mramba
17. Mwijage
18. Kangi Lugola
19. Wiliam Ngereja
20. Jason Rweikiza
Naunga mkono hoja.1. P. Katambi (Anashikilia Record)
2. Saada Mkuya (Wa fedha wakati wa Jakaya)
3. Hamis Kigwangalla
4. Nape Nnauye
5. Makame Mbalawa
6. Samia Suluhu Hassan (Kipindi cha Jakaya)
7. Joseph Mungai (Changanya Phisics na Chemistry na ufute agriculture)
8. Wilson Masilingi
9. Shukuru Kawambwa
10.Masauni
11. Mchengerwa
12. Kitila Mkumbo
13. Philipo Mulugo anasema Tanzania ni Muunganiko wa Tanganyika na Zimbabwe
14. Lazaro Nyalandu
15. Mwigulu Nchemba
16. Bazir Mramba
17. Mwijage
18. Kangi Lugola
19. Wiliam Ngereja
20. Jason Rweikiza
Mkuu.Dr. Mohamed ghalib bilali
Huyu alikuwa katambi wa mkapa.
Aliandika kitabu kinaitwa ( Fungate ya uhuru) ndani Kuna shairi maarufu ( Nikizipata bunduki/ madaraka)
Alipopewa uwazir akauwa mpaka wazanzibar wenzake huko pemba
Kwa jinsi serikali hii dhalimu inavyomchukia Lissu hata ingekuwa wewe ungekubali watoto wako waishi hapa? Jokate unayemzungumzia babakae hakuwa na uhasama na serikali, wewe unayeangalia mambo kwa angle ndogo ndiye zuzu.Hata jokate mwegelo alizaliwa marekani,lakini aliukana uraia wa marekani akaukumbatia utanzania
Lissu anataka kuwa rais wa tz, watoto wake siyo watz,mkewe anafanya kazi na hivyo kuishi nje ya nchi,acheni uzuzu nyinyi
Mavi ya mama yamekujaa mpaka kwenye ubongo pumbavu wewe.Hili lililoandika hapa inaonekana ni lipishi la mke wa lissu anayeishi machapukoni huko ulaya.
Kweli nimechanganya. Asante kunikumbishaMkuu.
Nafikiri fungate la uhuru ni kazi ya Mohameid Seif Khatib
Unawajua watoto wangapi wa malecela? Wenye kufanya kazi ulaya na kuwa raiya wa huko ni wangapi?Hivi yule mtoto wa lissu wa kiume aliyeenda kwa senator,nae ana uraia wa marekani (kaukana utanzania) kama alivyosema baba yake?
Ametumwa na boss wake, ulitaka afanyajeKwa mazingira ya sasa hakutumia akili kukubali yeye kuwa mbele ya kipaza sauti kuzuia mikutano.
Kukitokea lolote huko mbele anaweza kujikuta anachukuliwa hatua huku waliomtuma wakimkana.
Dunia inaenda kasi hataamini ...
Ametumwa na boss wake, ww karai mwenzangu ulitaka afanyaje?Karai, weweeulitaka kwa lipi ndio aingie kwenye list?
Mjomba, mwandishi wa kitabu cha Fungate ya uhuru ni Mohamed Seif Khatib! Amefariki tarehe 15 February 2021. Huyu Dr. Mohamed Gharib Bilal uliyemfananisha naye alikuwa ni Makamu wa Rais wa JK kutoka 2010-2015.Dr. Mohamed ghalib bilali
Huyu alikuwa katambi wa mkapa.
Aliandika kitabu kinaitwa ( Fungate ya uhuru) ndani Kuna shairi maarufu ( Nikizipata bunduki/ madaraka)
Alipopewa uwazir akauwa mpaka wazanzibar wenzake huko pemba
Kauli mbaya sana ambayo haina msingi wa kisheria na hailengi kuleta utulivu kwa nchiKisa kauli ya jana tuu Ndo umemuweka namba moja?
Sawa
Mjomba nimechanganya majina. Nashukuru sanaMjomba, mwandishi wa kitabu cha Fungate ya uhuru ni Mohamed Seif Khatib! Amefariki tarehe 15 February 2021. Huyu Dr. Mohamed Gharib Bilal uliyemfananisha naye alikuwa ni Makamu wa Rais wa JK kutoka 2010-2015.