Orodha ya Mawaziri Mizigo kuwahi kuteuliwa Tangu 1995-2026

Orodha ya Mawaziri Mizigo kuwahi kuteuliwa Tangu 1995-2026

Hata jokate mwegelo alizaliwa marekani,lakini aliukana uraia wa marekani akaukumbatia utanzania
Lissu anataka kuwa rais wa tz, watoto wake siyo watz,mkewe anafanya kazi na hivyo kuishi nje ya nchi,acheni uzuzu nyinyi
Hapa sioni tatizo baba yeye si mtanzania au atawapa nchi watoto wake akiwa rais kama sa100?
 
1. P. Katambi (Anashikilia Record)
2. Saada Mkuya (Wa fedha wakati wa Jakaya)
3. Hamis Kigwangalla
4. Nape Nnauye
5. Makame Mbalawa
6. Samia Suluhu Hassan (Kipindi cha Jakaya)
7. Joseph Mungai (Changanya Phisics na Chemistry na ufute agriculture)
8. Wilson Masilingi
9. Shukuru Kawambwa
10.Masauni
11. Mchengerwa
12. Kitila Mkumbo
13. Philipo Mulugo anasema Tanzania ni Muunganiko wa Tanganyika na Zimbabwe
14. Lazaro Nyalandu
15. Mwigulu Nchemba
16. Bazir Mramba
17. Mwijage
18. Kangi Lugola
19. Wiliam Ngereja
20. Jason Rweikiza
Huyu kijana wizara ya michezo anafaa kwa lipi? Au umetumia nini kama criteria?
 
Kitambi ni moja ya watu watakao ishi maisha ya stress sana ndani yao mpka siku za kufa kwao.

Am real sorry for him.

Majuto hayatomuacha daima ndani yake daima.
 
Back
Top Bottom