Orodha ya Mawaziri Mizigo kuwahi kuteuliwa Tangu 1995-2026

Orodha ya Mawaziri Mizigo kuwahi kuteuliwa Tangu 1995-2026

1. P. Katambi (Anashikilia Record)
2. Saada Mkuya (Wa fedha wakati wa Jakaya)
3. Hamis Kigwangalla
4. Nape Nnauye
5. Makame Mbalawa
6. Samia Suluhu Hassan (Kipindi cha Jakaya)
7. Joseph Mungai (Changanya Phisics na Chemistry na ufute agriculture)
8. Wilson Masilingi
9. Shukuru Kawambwa
10.Masauni
11. Mchengerwa
12. Kitila Mkumbo
13. Philipo Mulugo anasema Tanzania ni Muunganiko wa Tanganyika na Zimbabwe
14. Lazaro Nyalandu
15. Mwigulu Nchemba
16. Bazir Mramba
17. Mwijage
18. Kangi Lugola
19. Wiliam Ngereja
20. Jason Rweikiza
-Mwigulu
-Makonda Bashite
-FA Winjuma
-Ridhiwani
Hawa👆🏾wanaongoza kwa kuwa wajinga na wapumvavu.
 
Sema hilo linaibu waziri namba 13 mulugo yule ndio kilaza kupindukia sijui aliupata vipi uwaziri yule tena wizara ya elimu!! Nadhani hata yeye Sasa hivi akiwaza anajicheka 😁😁
 
1. P. Katambi (Anashikilia Record)
2. Saada Mkuya (Wa fedha wakati wa Jakaya)
3. Hamis Kigwangalla
4. Nape Nnauye
5. Makame Mbalawa
6. Samia Suluhu Hassan (Kipindi cha Jakaya)
7. Joseph Mungai (Changanya Phisics na Chemistry na ufute agriculture)
8. Wilson Masilingi
9. Shukuru Kawambwa
10.Masauni
11. Mchengerwa
12. Kitila Mkumbo
13. Philipo Mulugo anasema Tanzania ni Muunganiko wa Tanganyika na Zimbabwe
14. Lazaro Nyalandu
15. Mwigulu Nchemba
16. Bazir Mramba
17. Mwijage
18. Kangi Lugola
19. Wiliam Ngereja
20. Jason Rweikiza
Kama Kibudu Kalamaganda haonekani kwenye orodha hiyo ya ubovu; huenda kuna vigezo tofauti vinavyotumika kubainisha "ubovu" unaosemwa hapa.
 
Hoja hapa ni mawaziri mizigo
Ni mada yenye uzito; laiti kama pangekuwepo na vigezo vilivyoainishwa kuhusu sifa hiyo ya kuwa "mizigo" ingekuwa nzuri zaidi.

Najuwa hiyo ni kazi ngumu kuifanya hapa.
Mimi namtaja Kibudu Kalamaganda kwa kigezo cha kuwa waziri "chawa", asiyejuwa maslahi ya nchi ni yapi. Anachojuwa yeye ni maslahi yake na mteuzi wake basi.
 
1. P. Katambi (Anashikilia Record)
2. Saada Mkuya (Wa fedha wakati wa Jakaya)
3. Hamis Kigwangalla
4. Nape Nnauye
5. Makame Mbalawa
6. Samia Suluhu Hassan (Kipindi cha Jakaya)
7. Joseph Mungai (Changanya Phisics na Chemistry na ufute agriculture)
8. Wilson Masilingi
9. Shukuru Kawambwa
10.Masauni
11. Mchengerwa
12. Kitila Mkumbo
13. Philipo Mulugo anasema Tanzania ni Muunganiko wa Tanganyika na Zimbabwe
14. Lazaro Nyalandu
15. Mwigulu Nchemba
16. Bazir Mramba
17. Mwijage
18. Kangi Lugola
19. Wiliam Ngereja
20. Jason Rweikiza
Mkuu Burita, britanicca , mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni!, Ili kuwatendea haki ni vizuri ungetutajia na huo umzigo wao kama kwenye number 2, 7 na 13, kama nilivyo shauri hapa Hongera JF kwa Whistleblow, JF tubadilike, tusichafue majina ya Watu kwa tuhuma za Hearsay zisizo na Uthibitisho, Ukituhumu, Weka Uthibitisho

yule number 6, ni mimi ndie nilimu indroduce humu jf, ile 2010, New Cabinet: Baadhi ya Majina ni Haya Hapa!
kipindi chake chote cha uwaziri hakuwahi kuwa waziri mzigo!.

Tena kwenye majina ya wanawake presidential material wa Tanzani, huyu alishika number 1!. Siku ya Wanawake Duniani: Je, tuna Wanawake wenye sifa za Presidential Material?

Wakati akiwa VP, she was the Best!, Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!” na hapa "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza

Baada tuu ya kutokea lile tukio la March 17, nilitoa angalizo humu PreGE2025 - Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Kuna siku, niliambiwa kitu kuhusu urais wa 2030, kupitia HII sauti na nikakileta humu, hivyo kitendo cha 2025-2030 kuwa ni yeye, hii maana yake ni yeye ndiye aliyepangiwa na YEYE!.

Usimhukumu mtu kwa makosa ya zamani, mhukumu kwa makosa yake ya sasa!, tena yawe ya kwake sio ya kukoseshwa, Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda

labda tengeneza list nyingine ya marais mizigo, ndipo umuweke tumjadili, akiwa waziri she was ok, akiwa VP she was supper!, lakini sasa kama rais, hili linajadilika!.

P
 
1. P. Katambi (Anashikilia Record)
2. Saada Mkuya (Wa fedha wakati wa Jakaya)
3. Hamis Kigwangalla
4. Nape Nnauye
5. Makame Mbalawa
6. Samia Suluhu Hassan (Kipindi cha Jakaya)
7. Joseph Mungai (Changanya Phisics na Chemistry na ufute agriculture)
8. Wilson Masilingi
9. Shukuru Kawambwa
10.Masauni
11. Mchengerwa
12. Kitila Mkumbo
13. Philipo Mulugo anasema Tanzania ni Muunganiko wa Tanganyika na Zimbabwe
14. Lazaro Nyalandu
15. Mwigulu Nchemba
16. Bazir Mramba
17. Mwijage
18. Kangi Lugola
19. Wiliam Ngereja
20. Jason Rweikiza
January Makamba
Prof Kabudi
Prof Muhongo aliyesema sisi hatuwezi Jenga barabara tutengeneze juice tu
 
1. P. Katambi (Anashikilia Record)
2. Saada Mkuya (Wa fedha wakati wa Jakaya)
3. Hamis Kigwangalla
4. Nape Nnauye
5. Makame Mbalawa
6. Samia Suluhu Hassan (Kipindi cha Jakaya)
7. Joseph Mungai (Changanya Phisics na Chemistry na ufute agriculture)
8. Wilson Masilingi
9. Shukuru Kawambwa
10.Masauni
11. Mchengerwa
12. Kitila Mkumbo
13. Philipo Mulugo anasema Tanzania ni Muunganiko wa Tanganyika na Zimbabwe
14. Lazaro Nyalandu
15. Mwigulu Nchemba
16. Bazir Mramba
17. Mwijage
18. Kangi Lugola
19. Wiliam Ngereja
20. Jason Rweikiza
Chama cha Mazezeta (CCM)
CHANZO CHA MATATIZO
 
Back
Top Bottom