Orodha ya Mawaziri Mizigo kuwahi kuteuliwa Tangu 1995-2026

Umemsahau Bashungwa.
 
Sema unawachukia tu hao,, kuna jamaa moja ni tapeli full hata ongea yake ni tu unajua hapa tunapigwa🤣 🤣 simwoni hapa kwenye listi,,, na wizara yake nzito kwa taifa...
 
Naunga mkono hoja.
 
Dr. Mohamed ghalib bilali
Huyu alikuwa katambi wa mkapa.
Aliandika kitabu kinaitwa ( Fungate ya uhuru) ndani Kuna shairi maarufu ( Nikizipata bunduki/ madaraka)
Alipopewa uwazir akauwa mpaka wazanzibar wenzake huko pemba
Mkuu.
Nafikiri fungate la uhuru ni kazi ya Mohameid Seif Khatib
 
Hata jokate mwegelo alizaliwa marekani,lakini aliukana uraia wa marekani akaukumbatia utanzania
Lissu anataka kuwa rais wa tz, watoto wake siyo watz,mkewe anafanya kazi na hivyo kuishi nje ya nchi,acheni uzuzu nyinyi
Kwa jinsi serikali hii dhalimu inavyomchukia Lissu hata ingekuwa wewe ungekubali watoto wako waishi hapa? Jokate unayemzungumzia babakae hakuwa na uhasama na serikali, wewe unayeangalia mambo kwa angle ndogo ndiye zuzu.
 
Hili lililoandika hapa inaonekana ni lipishi la mke wa lissu anayeishi machapukoni huko ulaya.
Mavi ya mama yamekujaa mpaka kwenye ubongo pumbavu wewe.
Make wa lisu ameingiaje kwenye mjadala huu? Kwani mtu kupikiwa chakula ni kosa?
Ndo mana mnasifia hata mavi ya viongozi kwa uchawa chawa wa kijinga
Mavi ya mama yamekujaa kichwani yamechanganyika na usaha uliovunda
 
Hivi yule mtoto wa lissu wa kiume aliyeenda kwa senator,nae ana uraia wa marekani (kaukana utanzania) kama alivyosema baba yake?
Unawajua watoto wangapi wa malecela? Wenye kufanya kazi ulaya na kuwa raiya wa huko ni wangapi?
Unawajua watoto wangapi wa jakaya? Ukiondoa riz mana ndo unamjua wote wapo Tanzania?
Ningekuwa na muda . Unajua maisha ya anasa wanapoishi watoto wa nje wa Jakaya wewe? Unajua alipo Rajab kikwete? Maisha yake yanafanana na Yako wewe chawa mnuka mdomo? ningekupa mifano mingi.
Mnawaza kimasikini sana, kwamba ati kwakuwa mtu watoto wake wapo nje Hana haki ya kuwa kiongozi wa upinzani. Ujinga huu
Mbona hukawahi kuhoni Yale matrilion yanayoibiwa na ma ccm kwenda kuwekwa huko ulaya?
Wewe unajua viongozi wa serikali na hicho chama kinachouwa watu Wana mpaka ma apartments huko majuu?
Unajua wanapoishi watoto wa kina a wewe? Unajua mwanvita makamba yupo wapi na ana cheo Gani?
Unamjua Sabra kinana?
 
Kwa mazingira ya sasa hakutumia akili kukubali yeye kuwa mbele ya kipaza sauti kuzuia mikutano.
Kukitokea lolote huko mbele anaweza kujikuta anachukuliwa hatua huku waliomtuma wakimkana.
Dunia inaenda kasi hataamini ...
Ametumwa na boss wake, ulitaka afanyaje
 
Dr. Mohamed ghalib bilali
Huyu alikuwa katambi wa mkapa.
Aliandika kitabu kinaitwa ( Fungate ya uhuru) ndani Kuna shairi maarufu ( Nikizipata bunduki/ madaraka)
Alipopewa uwazir akauwa mpaka wazanzibar wenzake huko pemba
Mjomba, mwandishi wa kitabu cha Fungate ya uhuru ni Mohamed Seif Khatib! Amefariki tarehe 15 February 2021. Huyu Dr. Mohamed Gharib Bilal uliyemfananisha naye alikuwa ni Makamu wa Rais wa JK kutoka 2010-2015.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…