Orodha ya Mawaziri Mizigo kuwahi kuteuliwa Tangu 1995-2026

Hata jokate mwegelo alizaliwa marekani,lakini aliukana uraia wa marekani akaukumbatia utanzania
Lissu anataka kuwa rais wa tz, watoto wake siyo watz,mkewe anafanya kazi na hivyo kuishi nje ya nchi,acheni uzuzu nyinyi
Hapa sioni tatizo baba yeye si mtanzania au atawapa nchi watoto wake akiwa rais kama sa100?
 
Huyu kijana wizara ya michezo anafaa kwa lipi? Au umetumia nini kama criteria?
 
Kitambi ni moja ya watu watakao ishi maisha ya stress sana ndani yao mpka siku za kufa kwao.

Am real sorry for him.

Majuto hayatomuacha daima ndani yake daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…