Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Kama mzee Pinda alivoshawishi Mpanda kuwa manispaa, na mzee Brigedia jeneral Hassan Ngwilizi alivomshawishi mzee wa msoga akamuingiza chaka eti Tanga iwe jiji.Upo sahihi sana,inabidi irudishwe kama zamani iwe Tarafa ya Same.Mzee Msuya inawezekana kuna rafu ya ushawishi aliifanya enzi zake
Tabora hamna kitu kabisaTabora utakua ulifika zamani.
Kwa kweli huyu Sumbawanga atakuwa haijui....Unaijua Sumbawanga kweli wewe?
Na Ina miundombinu mizuri ya biasharaKwa kweli huyu Sumbawanga atakuwa haijui....
Sumbawanga ni Moja ya miji iliyopangika kwa ubora na ustadi kwelikweli....
Ulishawahi kufika Sumbawang
Uko serious, unasema na arusha mkuu! Iyo Dom ndo haifai kuwepo hapo coz imepewa hadhi kisiasa tu. Dom ni mbeya iliyochangamka.Na arusha
Dar✔
Mwz✔
Dom ✔
Uko serious, unasema na arusha mkuu! Iyo Dom ndo haifai kuwepo hapo coz imepewa hadhi kisiasa tu. Dom ni mbeya iliyochangamka.Na arusha
Dar✔
Mwz✔
Dom ✔
Tanga.Kumekuwepo na mjadala kuhusu Majiji.
Ukweli ni kwamba sio Majiji tu ambapo yapo yenye hadhi hiyo ilihali kiuhalisia ilipaswa yawe manispaa Tu.
Leo nakupa orodha ya manispaa zisizostahili hadhi hiyo.
1. Lindi
2. Shinyanga
3. Tabora
3. Singida
5. Kigoma
6. Songea
7. Musoma
8. Bukoba
Manispaa hizo kimiundombinu na maendeleo ya mtu mmoja mmoja bado Sana. Mfano Shinyanga nilipofika nilibak mdomo wazi.
Taja manispaa zingine
Kaarusha utakafananisha na dom kweli!Uko serious, unasema na arusha mkuu! Iyo Dom ndo haifai kuwepo hapo coz imepewa hadhi kisiasa tu. Dom ni mbeya iliyochangamka.
Kwahiyo ni kijiji?Manyara ni mji?
Manyara ni jina la mkoa
Hakika Mkuu.....Na Ina miundombinu mizuri ya biashara