Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

Hata Dar haistahili kuwa jiji. Kwa vigezo Dar haina Sky Scraper hata moja. Sky Scraper inatakiwa kuwa na ghorofa 40 zinazoweza kukaliwa na urefu wa zaidi ya 150m.
 
Yes, Arusha ni safi kuliko Dar na ina hali ya hewa nzuri, huwezi kukuta uholela holela...

Hapa sizungumzii usafi, usafi hata mwz na shinyanga ni safi vile vile

Hapa nazungumzia majiji makubwa, na mazuri kwa kuishi.

Sasa arusha itashindana na mwanza au dom! Labda kwa madudu, ujambazi na wivu wa mapenzi mtakua mmetuzidi
 
Mbeya pale soweto ambapo ni mjini kabisa unakutana na nyumba za udongo.
Unadhani nyumba za udongo za Mbeya ni sawa na hizo za kwenu huko? Unajua Kwa nini Mbeya Kuna Madini ya Pozollana ya kuzalishia saruji?
 
Mkuu nakubaliana nawe, zamani Tanga ilikuwa mji wenye viwanda vingi, vikiwemo:- vya nguo, plastiki, mkonge, sement, maziwa n,k; Tanga ndio mji uliopiwa na kupimika kwa ajili ya makazi ya watu na viwanda,ila nadhani kuna mdudu mtu ame idhofisha TANGA
Lakini sasa naiona ikiinuka kwa kasi sana
 
Orkesumet ni kijiji kabisa ila ndiyo hivyo ni makao makuu ya Wilaya ya Simanjiro
 
Back
Top Bottom