Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

Orodha ya Miji yenye hadhi isiyostahili

Sikubaliani nawe, kwa sababu, Tanga ina kila sifa ya kuitwa jiji,
1 kipato
2 viwanda
3 shughuli nyingine mbali mbali za kiuchumi
4 makusanyo ya kodi (kupitia bandarini na mpakani na inchi jirani)
5 idadi ya watu
6 miundombinu
7 kilimo (mkonge, chai kimataifa) na chakula na matunda kitaifa
Yaani karibu fursa zote zipo tanga

Na historia ya tanga miaka ya mwanzo mwanzo ya uhuru kabla ya Tanga kupigwa vita ya chini chini ilikua inaongoza baada ya dar es salaam kuchangia pato la taifa
Mapato mengi ya tanga enzi za mchonga yalienda sana kusaidia mikoa ya bara huko na kuiacha tanga hoi bin taabani, ila kwa sasa kila kitu kipo wazi na wameanza kurudi kwenye chati yao ya zamani

Tanga ni bonge la jiji na bonge la mkoa kuishi pale
NB
Ukiona hujaelewa ingia maktaba tafuta kitabu kinaitwa : ukweli kuhusu Tanzania
Mkuu nakubaliana nawe, zamani Tanga ilikuwa mji wenye viwanda vingi, vikiwemo:- vya nguo, plastiki, mkonge, sement, maziwa n,k; Tanga ndio mji uliopiwa na kupimika kwa ajili ya makazi ya watu na viwanda,ila nadhani kuna mdudu mtu ame idhofisha TANGA
 
Angalau sahivi shinyanga imeendelea kidogo barabara za mitaa zimepigwa lami na taa mitaa imepangiliwa kumebadilika mara ya kwanza kwenda 2016 ilikua ni mkoa mmoja mbovu sana ila sahivi wamefanya comeback panapendeza miti iliyopandwa pembezon mwa barabara wakati unaingia imebadili mandhari pamependeza na usafi wanazingatia

Musoma ndo sijawahi kupaelewa kabisa kabisa
Kweli kabisa, mkurugenzi aliesimamia mipango na usafi amepatendea haki kiasi chake palikuwa pa ovyo sana shy.
 
sumbawanga, katavi, musoma, mtwara, lindi, hakuna manispaa pale, ni utapeli mtupu
 
Kumekuwepo na mjadala kuhusu Majiji.

Ukweli ni kwamba sio Majiji tu ambapo yapo yenye hadhi hiyo ilihali kiuhalisia ilipaswa yawe manispaa Tu.

Leo nakupa orodha ya manispaa zisizostahili hadhi hiyo.

1. Lindi
2. Shinyanga
3. Tabora
3. Singida
5. Kigoma
6. Songea
7. Musoma
8. Bukoba

Manispaa hizo kimiundombinu na maendeleo ya mtu mmoja mmoja bado Sana. Mfano Shinyanga nilipofika nilibak mdomo wazi.

Taja manispaa zingine
Baadhi ya vigezo muhimu vya kuipandsha hadhi aehem
 

Attachments

  • Screenshot_2024-08-08-16-01-14-69.png
    Screenshot_2024-08-08-16-01-14-69.png
    110.8 KB · Views: 4
Hiyo miji inastahili hiyo hadhi maana vigezo vimetimiza kulingana na vigezo walivyojiwekea.ukilinganisha na miji za nje hata Dar es salaam itaonekana takataka tu.mfano dar ulinganishe na Paris
 
Mngeenda kuiona miji ya Zambia si mngelia kabisa? Kama Mbinga au Karatu zingekuwa Zambia zingeshaitwa Manispaa.
 
Kwa ambapo nimewahi kuishi sitakubariana na wewe kwa manispaa hizi,BUKOBA,TABORA,SINGIDA.
Na vigezo ulivyoviainisha sidhani kama ni kweli.

Labda sielewi vigezo vya hadhi.
 
Kumekuwepo na mjadala kuhusu Majiji.

Ukweli ni kwamba sio Majiji tu ambapo yapo yenye hadhi hiyo ilihali kiuhalisia ilipaswa yawe manispaa Tu.

Leo nakupa orodha ya manispaa zisizostahili hadhi hiyo.

1. Lindi
2. Shinyanga
3. Tabora
3. Singida
5. Kigoma
6. Songea
7. Musoma
8. Bukoba

Manispaa hizo kimiundombinu na maendeleo ya mtu mmoja mmoja bado Sana. Mfano Shinyanga nilipofika nilibak mdomo wazi.

Taja manispaa zingine
Hizo zote ulizotaja ni makao makuu ya mikoa. Ni suala la kisera makao makuu ya Mkoa kuwa Manispaa. Hata Kibaha na Njombe zitapata hadhi hiyo siku za karibuni.

Aidha kimiundombinu ya pale mjini Tabora na Kigoma Ujiji huwezi kubeza. Kwa area na population Tabora na Shinyanga huwezi kuziondoa.

Lakini pia kama Tunduru, Korogwe, Mbinga, Babati ni Town Councils, hizo Manispaa zilizopo hapo haziwezi kuwa kundi moja na Town Councils.
 
Back
Top Bottom