Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Tunaaibika sana kwa mji ule kuitwa jiji.Siasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaaibika sana kwa mji ule kuitwa jiji.Siasa
Upo sahibi kabisa,hata mm nina baiskeli purposely huwa naitumia kwaajili ya mazoezi,ila kiuchumi haina msaadaUmeangalia upande mmoja tu. Baiskeli inakufanya usipate magonjwa na hivyo automatically unakuwa tajiri wa afya na kiuchumi. Fikiria nje ya box mkuu
Ina msaada sana Chukwu... Inakufanya unakuwa na afya. So kama ungekuwa unaenda hospital mara 3 kwa mwaka utaenda mara Moja au usiende kabisa. Sababu ni kwamba kisukari, pressure, obesity hata malaria zitakuwa mbali na weweUpo sahibi kabisa,hata mm nina baiskeli purposely huwa naitumia kwaajili ya mazoezi,ila kiuchumi haina msaada
Sijakuelewa mantiki yako ya msingi.Kumekuwepo na mjadala kuhusu Majiji.
Ukweli ni kwamba sio Majiji tu ambapo yapo yenye hadhi hiyo ilihali kiuhalisia ilipaswa yawe manispaa Tu.
Leo nakupa orodha ya manispaa zisizostahili hadhi hiyo.
1. Lindi
2. Shinyanga
3. Tabora
3. Singida
5. Kigoma
6. Songea
7. Musoma
8. Bukoba
Manispaa hizo kimiundombinu na maendeleo ya mtu mmoja mmoja bado Sana. Mfano Shinyanga nilipofika nilibak mdomo wazi.
Taja manispaa zingine
Lindi sijui wakiite kijiji cha wavuvi tu,sijawahi ona manispaa ya hovyo kama lindiKumekuwepo na mjadala kuhusu Majiji.
Ukweli ni kwamba sio Majiji tu ambapo yapo yenye hadhi hiyo ilihali kiuhalisia ilipaswa yawe manispaa Tu.
Leo nakupa orodha ya manispaa zisizostahili hadhi hiyo.
1. Lindi
2. Shinyanga
3. Tabora
3. Singida
5. Kigoma
6. Songea
7. Musoma
8. Bukoba
Manispaa hizo kimiundombinu na maendeleo ya mtu mmoja mmoja bado Sana. Mfano Shinyanga nilipofika nilibak mdomo wazi.
Taja manispaa zingine
Sijui wanakuaga wapo tungi...kwa sababu huwezi kupitisha mji kama ule kuwa manispaa ni aibu kubwa sana. Miji mingine ni hii;Lindi sijui wakiite kijiji cha wavuvi tu,sijawahi ona manispaa ya hovyo kama lindi
Nikweli,ila ukipata dharura kuwahi hospital unamgonjwa anaweza kufa kwa kuchewa,Huwezi kufika eneo la kazi kwa wakati na huwezi kubeba mzigo hata gunia moja la mahindi......kwa namna nilivyoona pale Shinyanga baiskeli ni uchafu wa mjiIna msaada sana Chukwu... Inakufanya unakuwa na afya. So kama ungekuwa unaenda hospital mara 3 kwa mwaka utaenda mara Moja au usiende kabisa. Sababu ni kwamba kisukari, pressure, obesity hata malaria zitakuwa mbali na wewe
Tanga itoe hapoOngeza na hizi;
Mpanda
Sumbawanga
Kwa upande wa majiji;
Mbeya
Tanga
Mwanga haijawahi pewa hadhi hiyo.kuna wilaya ina itwa mwanga wanahadhi ya mji mdogo pale tambarare ila kiukweli ni kama kakijiji naenjoy kufika na kukaa kwakua ni home ila sio siri hata hadhi ya mji mdogo haipo labda ilikuja kwa heshima ya baadhi ya viongozi na wadau wa chama wenye heshma.....
Kahama imezidi hata Singida, sjui Njombe na baadhi ya mikoa nashangaa ni wilayaSingida nilipita ila pazuri, shinyanga wala kahama sijawahi kufika
Na mimi nasikia hivyo, ivi si ndio huko kuna soko la EACKahama imezidi hata Singida, sjui Njombe na baadhi ya mikoa nashangaa ni wilaya
Kwa vigezo vya Urban proper, majiji ni Dar, Arusha na Mwanza yaani CBD. Hata Dodoma bado. Ila kwa metro majiji ni Dar, Mwanza, Dodoma, Mbeya ikifuatiwa na Tanga. Hata hivyo Morogoro na Moshi vinaweza kupewa hadhi hiyo na kuyapiku majiji kama Mbeya na Tanga, Dodoma ni bahati yake tu kwq sababu Serikali imewekeza pale lakini Dodoma ilikua haiwezi kusimama peke yakeMajiji ni matatu tu
Dar
Mwz
Dom
Aione Watu8 Kuna vigezo hapo Mbeya inastahili kabisa kuitwa jijiKuna vigezo vya eneo kuitwa Jiji, Manispaa, Mamlaka ya mji mdogo na Halmashauri ya Wilaya. Vigezo hivyo ni pamoja na:
1. Idadi ya watu
2. Kipato
3. Makusanyo ya kodi
4. Shughuli za kiuchumi
5.Miundo mbinu n.k
Hivyo uzingatie vigezo
Kuliko dar tena!Arusha ipo fresh mkuu, kunatazamika kuliko hata Dar...
Nimeshtushwa sana khaaaKumekuwepo na mjadala kuhusu Majiji.
Ukweli ni kwamba sio Majiji tu ambapo yapo yenye hadhi hiyo ilihali kiuhalisia ilipaswa yawe manispaa Tu.
Leo nakupa orodha ya manispaa zisizostahili hadhi hiyo.
1. Lindi
2. Shinyanga
3. Tabora
3. Singida
5. Kigoma
6. Songea
7. Musoma
8. Bukoba
Manispaa hizo kimiundombinu na maendeleo ya mtu mmoja mmoja bado Sana. Mfano Shinyanga nilipofika nilibak mdomo wazi.
Taja manispaa zingine
Sikubaliani nawe, kwa sababu, Tanga ina kila sifa ya kuitwa jiji,Tanga kuitwa jiji ni aibu ya nchi
Mkuu na Tanga piaNi kama Mbeya tu isivyostahili kuwa jiji...