Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Mwezi wa pili unakaa lodge mkuu?Sijajua mtaani kupoje, ila kwenye Lodge niliyopo sijakutana na changamoto ya maji mwezi wa pili sasa.
lakini pia utamaduni wao wa namna wanavyojenga nyumba zao kidogo unaharibu muonekano wa mji
Yes kuhusu ujenzi wengi naona bado hawana exposure. Hata mafundi ni wachache wanaoweza kufanya ujenzi makini sana