Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]hivi yule jamaa yupo bado??Mathanzua hapa ndio nyumbani kwake, atakula hizi pumba kujigaragaza
Marekani akiamua kukuvamia anakuvamia Tu anavyotaka muda wowote.nasikia nitukio lakupangwa na FBI iliwapate uhalali wakumuua Osama be laden
over
Ambae hawajatembea kwenye hiyo safari wanabisha waliotembea wanakubal hauna haki ya kudhibitisha kitu kama wewe haupo tayri kuingia ukafanya ukaleta majibu binafsi ata astral projection nafanya.But still conspiracy maana kuhusu yoga kuna wqtu wanadai ni ushirikina wengine wanadai sio ushirikina km ilivo magic mushroom so still debate hakuna majibu ya moja kwa moja inabase on belief ya mtu
1.word cup 2002Ni Vera kwa manufaa ungeelezea finalise za kombe lipi?
Hii namba hata club za arsenal na Liverpool hawatumii kwenye kit zao1.word cup 2002
2.UEFA 2002
3.euro 2008.
Sema sasa.Nazani hujanielewa mkuu nini nimemaanisha,, lakini siyo lazima pia aelezee kwa sababu kwa upande wangu nazielewa vizuri tu.
Nenda library kasome [emoji16][emoji16]Sema sasa.
Sawa bwana mdogo 😅😅Nenda library kasome [emoji16][emoji16]
Hata mimi ukijumlisha siku yangu niliyozaliwa 31/12/2002 unapata 11 lakini bado sioni bahati yangu 🤔🤔🤔🤔🤔Shambulio la kigaidi September 11
9/11 itself 9+1+1 = 11
Majengo pacha kama namba 11
Filght namba 11
Abiria 254 2+5+4 = 11
Hii ni bahati tu au ilikuwaje?
Si halisi mkuuReincarnation and rebirth ni dhana halisi nikipata muda nitarejea kuzijadili.
Yaah ni kweli ndo mana pamekuwa ni temporary tuu .
Naskia kuna maabara kule kubwa tu
Inatokea mara moja kwako, kwenye hilo shambulio inatokea mara kadhaa hiyo namba 11Hata mimi ukijumlisha siku yangu niliyozaliwa 31/12/2002 unapata 11 lakini bado sioni bahati yangu 🤔🤔🤔🤔🤔
Mmmh okInatokea mara moja kwako, kwenye hilo shambulio inatokea mara kadhaa hiyo namba 11
🤣🤣🤣ndio anasikiaUnasikia [emoji23][emoji23][emoji23]
Mhhh hebu elezea kidogoTitanic lilikuwa jeneza la mtu
Bermunda triangleHizi ni nadharia zenye utata hapa duniani hii ndio list yangu km unayo ongeza chini hapo
● Rebirth and reincarnation
● Time travelling
● Human clone
● Magic mushroom
● Mermaid (samaki watu)
● Allen's and UFO
● Ark of the Covenant (Sanduku la agano)
● Satan Bible
● De javuu theory
●meditation and yoga
●unlucky in 13 number
Unaruhusiwa kuongezea
Ya mavpn ni scam utakuja kujuta siku ukiibiwa vitu muhimu..
Inategemeana kuna watu wanatumia applications za crdb,nmb unahisi akiibiwa password sawa na aliyeibiwa account ya insta?Siyo zote mkuu, mimi huu ni mwaka wa pili natumia hii kitu kama siko poa na mpaka leo sijaibiwa chochote. Amini mkuu na huu ni ushahidi kutoka