Orodha ya nadharia zenye utata duniani (conspiracies)

Orodha ya nadharia zenye utata duniani (conspiracies)

  • Shakespeare was secretly written by Sir Francis Bacon.
  • Titanic was a hit-job.
  • Jews control the global financial system.
 
Inategemeana kuna watu wanatumia applications za crdb,nmb unahisi akiibiwa password sawa na aliyeibiwa account ya insta?
Mimi natumia app ya CRDB, tigopesa na Airtel money, sijawahi ibiwa chochote
 
Hiyo satan bilble ndio ile moral and dogma book.
 
Iko page kule instagram inaitwa ASYLUMS wanapost conspiracies, scary theories na crazy facts kila siku. Huwa naifuatilia sana.
Screenshot_20230311_190714_Instagram.jpg
 
Marekani akiamua kukuvamia anakuvamia Tu anavyotaka muda wowote.


Ghadafi alivamiwa mchana kweupe na akauawa Hadi Leo nchi yake haijastabalize
Na alikuwa Raisi wa nchi, itakuwa huyo Osama?
 
Back
Top Bottom