[emoji28]Alliens au Allen ?
Mimi natumia app ya CRDB, tigopesa na Airtel money, sijawahi ibiwa chochoteInategemeana kuna watu wanatumia applications za crdb,nmb unahisi akiibiwa password sawa na aliyeibiwa account ya insta?
Hii pia ukakasi km tulipigwa hiviMoon landing
Ebu ielezee vizuri kwa faida ya wengHiyo satan bilble ndio ile moral and dogma book.
Na alikuwa Raisi wa nchi, itakuwa huyo Osama?Marekani akiamua kukuvamia anakuvamia Tu anavyotaka muda wowote.
Ghadafi alivamiwa mchana kweupe na akauawa Hadi Leo nchi yake haijastabalize