Mm hii sio ndoto ..bali ndio kinachoendelea, kazini nimeshushwa, Hela imekimbia, hata nguo mpya kununua ni kazi ngumu hata nikiwa na hela. Hela siioni pombe sinywi Kwa sana.
Malaya nakuwa nao kiasi tu. Huduma nyumbani najiona kabisa sihudumii kama zamani. Najiuliza nimepatwa na shida gani.
Hutaniona nakunywa pombe mchana, lakini ikifika usiku nakuwa kama navutwa kwenda kunywa japo kias sijawahi kulala bila kilev kichwani, hii Tabia siipendi lk n nahisi kuna nguvu.
Anajitahidi kusoma ihlas na Dua zinginezo niache niwe kama mwanzo waaapi.
Naelewa ninachotakiwa kufanya ni kuacha pombe na Malaya. Lakini hii nguvu inatokana nannini.
Nilifikiria nioe mke mwingine ikiwa shidayangu ni WA awake, lkn naona itakuwa kosa