Utapatwa na jambo lenye kukutia aibu kabisa,hutopata mtu wa kukusaidia au msaada na matokeo yake unaweza hata kufikiria kujiua kutokana na msukumo wa roho chafu,acha mambo ya madhambi na mambo maovu unavyofanya utaaibika
 
Maana yake ni aibu kubwa,mambo ya aibu sana yatakuandama,acha wake za watu ,acha uzinzi ,acha wizi,ulevi n.k
 
Sasa hapa atachukua ipi ataacha ipi
 
Mkuu nimeota nipo mama kijijini tuna piga story vizuri tu lakini nimelala kwenye mkeka macho yangu yameelekea juu mawinguni

Naona anga la blue la usiku na nyota zake pamoja na mwezi lakini gafra nikaona jua linakamatwa na mwezi na pembeni pa hilo tukio niliona nyota 24 zikiwa zimeji panga nnenne mala 6 Yani Kama hivi

****
****
****
****
****
****
Nikiwa nashangaa hili tukio nyuma yangu Nika mwona mnyama poli anaye fanan napaa au swala alikuwa na langi ya kahawia

Nilipo mtazama vizuri niligundua nikama alijeruhiwa miguu ya nyuma na Simba huko alilo toka

Lakini nyuma ya yule paa Kama ulefu wa uwanja wa mpila nikaona Simba ambaye nahisi ndiye aliye mkosa yule paa akimkamata nguluwe pale nyumbani na kuondoka nae kwa speed

Na kilicho nishangaza zaidi nipale nilipo mwona mama akimsaidia yule paa na kizungumzia kwa lugha ambayo wanaelewana

Sasa najiuliza Nini maana ya kupatwa kwa jua nikiwa natazama?

Nini maana ya zile nyota 24 kupangika vile mbele ya macho yangu

Nini maana ya paa katika ndoto na ile maana ya kujeruhiwa miguu ya nyuma nakukimbilia pale nyumbani ili asaidiwe na akasaidiwa ?

Nanini maana ya yule Simba kumnyakua ngulue na kukimbia nae?

🙏🙏🙏
 
NDOTO HUJA KUTOKANA NA SHUGHULI NYINGI ZA MCHA.

UNACHOKIWAZA SANAAAAA MCHANA
NDICHO UTAKIOTA USIKU.

MAADUI HAWA WANAZIDI KUJA KWA KASI SANA.

UMASIKINI.
UJINGA.
MARADHI.

WAJINGA NDIO WALIWAO.
Mi naona hizi tafsiri ni uongo tu, kuna ndoto hapo anasema maana yake utaoa mwanamke aliyeachika, sasa najiuliza hiyo ndoto itakuwa inawajia ambao hawajaoa pekee? Vipi ikiwa aliyeoa ana mke tayari na hana mipango ya kuoa tena?
Eti ukiota unachota maji ni kwamba utaoa, yaani anaifanya ndoto iwe ni kwa ajili ya waoaji tu, naweza kuota hivo na tayari nina mke hiyo ndoto utabadilika maana!
 
Je ukiota tone kubwa la dam limeanguka kutoka juu upande wa jua kuzama na jua likiwa karibu kuzama.
 
Kuoka ukiwa unapta barabarani na kukutan na matrafik wamevalia nguo nyeupe wengi wamesimama pemben ya barabara ina maana gan .....

Ikiwa wewe ni mtu unayetumia chombo cha moto katika maisha ya kawaida bila shaka umwonapo trafiki mbele yako huwa upati hisia za urafiki bali sintofahamu au woga, Hivyo hii ni ishara kuwa moyoni mwako una hofu juu ya jambo fulani katika safari ya maisha yako, ila vyovyote itakavyokuwa utavipita vikwazo salama na kuendelea mbele.
 
Msaada ndugu Undava King: kuna binti alikuwa damu wangu lakini tulikwisha achana kitambo tuu tokea mwaka jana lakini tokea mwezi wa pili mwaka huu najikuta namuota mara kwa mara kwamba anakuja kwangu kuniomba msamaha
Hii imekaaje??
Mliachana katika mazingira gani? Na je, uliumizwa kwa kuachana kwenu?
 

Kuna jambo unalipuuzia kama ulioni lakini ndiyo chanzo cha kukukosesha furaha unayostahili maishani mwako, jaribu kugundua mwenyewe ni kitu gani hicho kinachokukwamisha ili urekebishe.
 
Habari!!
Nimeota ndoto Mbili zinanichanganya sana
1.Nimeota Marehemu Mzee wangu anagombana na Mama yangu Kisa ni Marehemu akimshutumu Mama usaliti Ktk Ndoa.

2.Kisa Cha pili nimeta this week Nimeoza Meno Yaani tena mpaka Mafizi.
Pia hapohapo nikaota kama nimekufa.
 
Imekula kwako, sio kuwa mpole tu utakiwa kama piriton
 

Nilikuchukulia maanani kumbe wewe mwenyewe Unashida zako!!Wacha wajuzi wanijibu ,Usichanganye mambo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…