Let me give you some tips..
Test or Examination ni sehemu ya maisha.
Mungu hutoa mtihani kwa watu wake, na ukimaliza na kufaulu huo mtihan, unapanda darasa la kiroho na unapanda kimaisha.
Binafsi hata mm ninapokuwa mvivu katika darasa la kiroho nakutana na mtihani mgumu. Lakini Mungu ni mwaminifu hutupa nafasi zaidi.
Katika ndoto ya kufanya mtihani.. unapopata nafasi ya kujua ni mtihani wa somo gani, hapo tayari kwenye somo kunakua na maana.
Dream is not all about what you see, but unatakiwa kuwa makini nini roho inakwambia kuhusu mazingira unayokutana nayo ndotoni.
what spirit tell you.
Unaweza ukawa upo kwenye mtihani, umeshikilia mtihani muanze kufanya lakini rohoni unajishuhudia mwenyewe hivi nitatoboa kweli maana sikupiga msuli ulioshiba na pengine unakumbuka kabisa hukupata muda wa kutulia kusoma.
So, kupitia hilo unatambua nn roho anakusemesha na kukumbusha.