Donatila note this
 
Kuna mdogo wangu wa kike alifariki mwaka 2017, kifo chake kiukweli kilikuwa na utata.. Japo tulimswalia na tulimzika na mazishi yake niliyasimamia mimi mwenyewe, sasa hii ni mara ya pili naota analia kwa uchungu huku ameniangalia, usiku wa leo nimeota ananingalia huku analia kwa uchungu sana mwisho wa siku ilibidi nimkumbatie kwa kumbebeleza na akanyamaza na ndio nikashtuka usingizini
 
Ungeelezea maisha yake japo kidogo bro

Ila kma ww ni Muslim fanya jitihada kubwa sana ya kumuombea dua mdogo wako after each swalaa penda sana uamke usiku muombee dua kwani huko alipo anauhitaji wa dua zenu sanaa kuliko kitu chochote

Ila ukiwa wa imani nyengine sijui
 
Mkuu Pole sana, nakushauri tu mwombe Roho Mtakatifu akusaidie, achana na ubishi wa kidini, mpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako
 
Sali Sala ya Toba, Ama hakika mtakuwa pamoja nae siku si nyingi.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…