Huo ni ujumbe muhimu sana...ndoto ni kinyume.kinyumeche..kinyumuee
 
Huwa unatabia yakufanya meditation.?
 
Umejuaje kuwa huko alipo anahitaji Dua?
 
Kifo chake kilikuwa na utata gani?
 
Hakuna uhusiano kati ya walio hai na wafu...

Muombe Mungu akutenganishe naye...


Aliuliwa ndugu yako, Roho yake inatumika mahali, Sasa anaweza akatumika kuwaita na wengine walio hai mfe wote...
 
Ukiwa unaota ndoto za watu unaowajua waliokwisha fariki maana yake jiombe wewe Kuna watu unaowafahamu wapo kinyume na wewe katika ulimwengu wa kiroho, vunja mipango ya maadui yako na hiyo ndoto inapotea, ukiona Tena jua wameanza tena.
 
Leo nimeota tunaenda kuzika lakini njiani jeneza likaanguka nin naana yake mkuu
 
Mimi niliota namuona Raisi Kagame live akiwa nyumbani kwetu Tena nyumba ya familia japo Mimi Nina maisha yangu ila jamaa alipita akiwa kama anajificha hivi ikawa kama tumemficha pale home
 
Me nimekua nikiota sana Niko shule Tena ya msingi muda mwingne naota Niko sekondar hii ndoto inajirudia sana naomba unisaidie
 
Mimi niliota namuona Raisi Kagame live akiwa nyumbani kwetu Tena nyumba ya familia japo Mimi Nina maisha yangu ila jamaa alipita akiwa kama anajificha hivi ikawa kama tumemficha pale home
Inamaanisha kuwa licha ya uwezo mkubwa/talanta uliyonayo bado uwajibiki ipasavyo kuna mambo unakwepa kuyaendea ambayo ndiyo yatakayokuimarisha zaidi.
 
Me nimekua nikiota sana Niko shule Tena ya msingi muda mwingne naota Niko sekondar hii ndoto inajirudia sana naomba unisaidie
Ndoto za kurudi katika nyakati za utotoni zakujirudia-rudia, ni alama ya kukwamia katika hatua fulani ya kimaisha na kutokukua/kupevuka kama age mate wenzako (Ni kama kengele inayokuamsha kuwa ndugu fanya jambo muda hausubiri) inawezekana huko katika kipindi ambacho unatumia muda mwingi kutafuta kazi, kujitafuta kimaisha, kufanya immature things kama starehe, kulala, kushinda kutwa ukichat,uvivu n.k

Wakati mwingine ikiwa kuna matukio unayaona au kuyabaini kila mara yanajirudia kwenye kila ndoto unayoota kuhusu shule pasipo kukoma, (Na ikitokea wewe ni mtu huru katika suala la kipato, unawajibika na ni mtu mzima kivitendo) jibu ni moja tu; roho yako bado iko connected na maisha yako ya nyuma ya kiroho ya shule hivyo kuna jambo unapaswa kufanya hili ku-end hiyo circle.
 
Leo nimeota tunaenda kuzika lakini njiani jeneza likaanguka nin naana yake mkuu
Unakumbushwa kuachana na uoga/kuishinda hofu ya kujaribu inayokukwamisha kupiga hatua kimaisha kwa kuogopa kuanguka/kushindwa hata kabla ya kuanza, kumbuka yaliyopita yamepita unapaswa kuyazika (kusahau) na kesho yako itaamuliwa na maamuzi yako ya leo.

# Ni metaphor ya usiishi na mawazo yaliyokufa wakati wewe ni mzima, kumbuka kesho yako hii mikononi mwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…