Nimeota ilikuwa usiku nimesimama sehemu nikawa natazama mbingu ghafla nyota ikaanguka kutoka mbinguni,ikaanguka upande wangu wa kulia.Kwenye ndoto ile nilifurahi sana nikaenda nikishangilia kwa furaha kwamba nyota imeanguka kutoka mbinguni.
 
Ana roho ya usagaji
 
Hii ndoto ya fisi wengi napambana nao ndotoni ile wamekaribia kunizidi nguvuuuuuuuu nimeshituka moyo unadunda balaa.

Mpaka kichwa kikawa kinauma hii ndoto asubuh hii imeniwazisha sanaa sijapata majibu
 
[emoji28][emoji28]mkuu bhana niliwahi puuza ndoto kumbe inamaana kubwa sana juu ya tukio lilikojua kutokea mbelee
Mimi ni shuhuda pia nimeota nipo nje ya mjii kidogo Kuna ghorofa kuu kuu Mimi na mdogo angu wa kike.

Ghorofa lipo kwenye ujenzii Kuna kitu mdogo angu akadhulumiwa Mimi nikamwambie TWENDE nipeleke nikakuchukulie tukapandisha ghorofani kufika sehemu wao wakapita Mimi njia ikawa finyu nikashindwa kupanda

Kwenye pilika pilika nikadondoka ghorofani kufika chini vizuri sana kulikua na ka pori porii nakutana mafisi mengi Nika Anza kuyatoa baruu mtanange mkali mpaka nikachoka ile yamenikalibia nikashituka usingizinii na hema sanaa
 
Wewe mtoa hoja huwa unaota ndoto za aina gani?.....kuamini ndoto ni ujinga
 
Unawindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…