Vazi Lina maana kubwa kiroho.
Mbinguni hakuna mtu aliye uchi.
Kuzimu na viringeni Huwa wako uchi.
Uchi ni Aibu. Katika maandiko, Adam na EVE walijikuta wapo uchi baada ya kutenda dhambi.
Kitendo Cha kuwa uchi ndotoni na ukashangaa Hali hiyo, tafsiri yake ni kuwa ulikuwa na VAZI limeondolewa.
Kuwa uchi ni kuondolewa Heshima uliyokuwa nayo,
Ulikuwa na NDOA, ulipozini, uchi wako ulionekana na kahaba, ndo maana unaonekana uchi, tafsiri yake Aibu inakufuata.
Ndoto hii inamaanisha pia Kuna watu mahala kazini au kiringeni wamekupangia mtego Ili uaibike kazini au ktk NDOA Yako.
ONYO. Kama unatoka nje ya NDOA acha, Baki njia kuu, omba na jitakasenili upate vazi.
Ameen