Nimeota ilikuwa usiku nimesimama sehemu nikawa natazama mbingu ghafla nyota ikaanguka kutoka mbinguni,ikaanguka upande wangu wa kulia.Kwenye ndoto ile nilifurahi sana nikaenda nikishangilia kwa furaha kwamba nyota imeanguka kutoka mbinguni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.