Nyumba Nafuuu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 408
- 437
- Thread starter
-
- #321
Roughly boma(msingi, kuta, paa, plasta) haipungui 25Mil.... Kwa haraka harakaMkuu nimependa hii ramani, Makisio kuijenga kwa Tanzania upande wa Pwani huku, inaeza kua kiasi gani?
VP kwa ramani ya Nyumba ya kawaida yenye Bati.Hii nyumba contemporary (hidden roofing) kwa watu wenye viwanja sambusa (pembe tatu) vidogo
Sifa
- ukumbwa103 sqm Coverage
- 16.65m Length
- 8.9m Width
Mteja wetu alikuwa anataka kujenga Kenya, amesema hako kakiwanja amenunua kwa TSh. 90,000,000/= kwa thamani ya Kenya (kina 241 SQM)
View attachment 2502168View attachment 2502169View attachment 2502171View attachment 2502172View attachment 2502173
Raman ya chumba kimoja kias gan mkuuZipo za gharama nafuu, maghorofa, kawaida, za kupangisha, servant quarter... Usihangaike kupata design/ramani,
Tumekuandalia list full!
- design hizi 400 zimeandaliwa na Architects waliopo Tanzania na zinapatikana kwa anayehitaji kwajili ya ujenzi!
- sababu nyumba 400 ni nyingi, kwahiyo hapa nitaonesha just front picha yenye data kidogo... ila waweza tembelea app yetu au website yetu au tuwasiliane!
View attachment 2827798
Ufafanuzi:
ID-19135 = hii inaonesha namba unique kuitambua ramani
🛌 2 = hii inamaanisha kuna idadi ya vyumba viwli vya kulala
📐 121 sqm = hii inamaanisha ukubwa wa nyumba (floor covarege) ni mita za mraba 121
🔺 83 Pcs = idadi ya bati zile za futu 10 ni pisi 83
❗ 12 m = urefu wa jengo ni mita 12
➖ 11 m = upana wa jengo ni mita 11
🔲 2,167 Pcs = tofali za kujenga kuta za 6" zipo 2,167
⬛ 1,077 Pcs = tofali za kujenga msingi za 6" zipo 1,077
Hello ..inategemea nyumba utakavyo changiaRaman ya chumba kimoja kias gan mkuu
Sawa. Nataka chumba siting room n bath. Iwe raman yenye standard nzuri kama ulayaHello ..inategemea nyumba utakavyo changia
nimekujibu link yenye list ya Nyumba chumba 1 inbox ili uchague...
Maana hapo siwezi weka link...
Nitawa banned
Hello... Umezuia watu wasikutumie meseji inbox...Sawa. Nataka chumba siting room n bath. Iwe raman yenye standard nzuri kama ulaya
boss hizi nilizoweka hapo ni mifano tuu wa nyumba 400 tulizo nazo (nafuu, kawaida, bungalow, ghorofa...)Boss nadhani maana halisi ya nyumba nafuu haujaitendea haki, mfano wa ile ramani ya nyumba ya awali umeorodhesha vitu vichache tu vikaleta almost 30M, hapo haujagusa gharama ya kiwanja na vikorokoro vingine kibao ambavyo haujaweka makisio yake.
Kwa haraka haraka hiyo nyumba haitapungua 70M, kitu ambacho si nyumba rahisi kwa sisi watanzania halisi wa milo chini ya mitata kwa siku.
Tuwekee na mifano ya walau nyumba ya 15-25M ikijumlisha gharama zote tuone.
kumbe 30M nahamia aseehii itakugharimu kama 30Mil kujenga kila kitu
Kila nyumba na bei yakekumbe 30M nahamia asee