Zipo za gharama nafuu, maghorofa, kawaida, za kupangisha, servant quarter... Usihangaike kupata design/ramani,
Tumekuandalia list full!
- design hizi 400 zimeandaliwa na Architects waliopo Tanzania na zinapatikana kwa anayehitaji kwajili ya ujenzi!
- sababu nyumba 400 ni nyingi, kwahiyo hapa nitaonesha just front picha yenye data kidogo... ila waweza tembelea app yetu au website yetu au tuwasiliane!
View attachment 2827798
Ufafanuzi:
ID-19135 = hii inaonesha namba unique kuitambua ramani
🛌 2 = hii inamaanisha kuna idadi ya vyumba viwli vya kulala
📐 121 sqm = hii inamaanisha ukubwa wa nyumba (floor covarege) ni mita za mraba 121
🔺 83 Pcs = idadi ya bati zile za futu 10 ni pisi 83
❗ 12 m = urefu wa jengo ni mita 12
➖ 11 m = upana wa jengo ni mita 11
🔲 2,167 Pcs = tofali za kujenga kuta za 6" zipo 2,167
⬛ 1,077 Pcs = tofali za kujenga msingi za 6" zipo 1,077