Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

Naomba range ya bei zenu za ramani low to high
 
PIA TUNAZO RAMANI ZA NYUMBA NYINGINE ZAIDI YA 300 UNAZOWEZA PATA NA UZIJENGE POPOTE TANZANIA NA AFRIKA

Tunazo Ramani nyingi zaidi ya 300 zenye picha, michoro, makisio gharama ambazo unaweza chagua na kuzinunua... Ramani zetu tunauza nchi zote Afrika na baadhi worldwide kwa kupitia website zetu... siwezi weka link hapa sababu nitakuwa-banned

Ila

Fanya Hivi Kuchagua na Kupata Ramani Zetu

[emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji117] Nenda Google search: MAKAZI RAMANI

[emoji117] Nenda Play Store pakua App yetu: MAKAZI RAMANI

[emoji117] Nenda YouTube channel: MAKAZI NETWORK

Au

Nione WhatsApp nikupe links ktk namba: +255-657-685-268
 
Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika.

Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
Safi
 
Unapotaka kujenga ni vyema ukaangalia mahitaji yako, bajeti na mwisho matamanio yako... huku mwishoni unapochagua nyumba iwe ambayo haikosi kutimiza mahitaji na pia unaweza mudu na mwishoni unaipenda...

Pia ni vyema upate sample kadhaa ili uweze jichanga akili yako vyema ili ufanye maamuzi sahihi!

IMG-20231212-WA0003.jpg


Kwa Msaada Zaidi kupata Ramani, makisio gharama ujenzi na ushauri ujenzi: +255-657-685-268 Piga/WhatsApp
 
Mkuu umetisha
Hongera saba.

Sasa tudadavulie moja baada ya nyingine tufahamu zaidi
 
Mkuu tunazo nyumba Zaidi ya 350,
With Each With Full Professional Drawings, Picture of Sides, Labour and Cost Estimates per Each Stage (foundation, walling, roofing, painting...), Required Plot Sizes...


Siwezi dadavua zote hapa... Naomba uangalie details zake Kwa kutembelea website hiyo ktk picha
 
Back
Top Bottom