Orodha ya sehemu zenye joto kali sana hapa Tanzania.

Orodha ya sehemu zenye joto kali sana hapa Tanzania.

Write your reply...kuna tofauti ya jua kali na joto kali,dodoma singida tunduma kuna jua kali mchana na usiku kuna poa
Umeelezea vizuri sana. Jamaa ka-mix kati ya jua na joto. Halafu pia jua siyo muda wote. Sehemu kama Singida au Dodoma kuna kipindi kunakuwa na baridi kali inayosababishwa na upepo.
 
Dar sio joto kali tu hata harafu za uchafu na maji taka vinakera sana karibia jiji lote kuanzia mbezi, kimara, ubungo, mabibo, manzese, tandale, magomeni, kigogo, mchikichini, kariakoo, buguruni, vingunguti, ilala, tabata, temeke, mbagala, ukonga, g/mboto... list ni ndefu ila itoshe kusema dar INANUKA.
 
Na watu wake pia wananuka makwapa, midomo na mapumbu bila kusahau K ukiwa nao kwenye Daladala au mwendokasi ni fukuto na harufu juu ya harufu alafu wanajifanya kuvaa vipensi, kanzu pamoja na car wash zao eti wajanja.

Ptuuuuuuuuu
 
watu mnachanganya kati ya jua kali na joto kali>>
hakuna sehemu dodoma kuna joto kali.
Dodoma kuna jua kali,
usiku kuna upepo wa baridi mkali sana.
 
Huko Boma itakua Ulienda siku jua ni kali jaribu kwenda kati ya mwezi wa 5 hadi wa 8 unaweza kuja kuandika tena ni sehemu yenye baridi kali
 
Hivi Tunduma kuna joto? Labda mimi nilienda msimu wa baridi, ila Kyela lile joto hapana aisee
 
Back
Top Bottom