Orodha ya sehemu zenye joto kali sana hapa Tanzania.

Orodha ya sehemu zenye joto kali sana hapa Tanzania.

1.Dar
2.Pwani
3.Tanga mjini
4.Ruaha mbuyuni
5.Ifakara
6.Mpanda
7.Dodoma yote
8.Tunduma
9.Himo
10.Bomang'ombe
11.Kia
12.Same
13.Singida yote
14.Shinyanga
15.moshi mjini
16.kyela
Kuna baadhi ya hayo maeneo kama dar,joto lake unatoa jasho Lina unyevu unyevu so unatakata,maeneo mengine hapo joto lake ni kavu hutoi jasho unakua mweusi tii.
Ila nilipo now ni nyuzi 39 C.
 
Back
Top Bottom