Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 3,258 Reaction score 6,504 Sep 20, 2025 #41 kyagata said: 1.Dar 2.Pwani 3.Tanga mjini 4.Ruaha mbuyuni 5.Ifakara 6.Mpanda 7.Dodoma yote 8.Tunduma 9.Himo 10.Bomang'ombe 11.Kia 12.Same 13.Singida yote 14.Shinyanga 15.moshi mjini 16.kyela Click to expand... Kuna baadhi ya hayo maeneo kama dar,joto lake unatoa jasho Lina unyevu unyevu so unatakata,maeneo mengine hapo joto lake ni kavu hutoi jasho unakua mweusi tii. Ila nilipo now ni nyuzi 39 C.
kyagata said: 1.Dar 2.Pwani 3.Tanga mjini 4.Ruaha mbuyuni 5.Ifakara 6.Mpanda 7.Dodoma yote 8.Tunduma 9.Himo 10.Bomang'ombe 11.Kia 12.Same 13.Singida yote 14.Shinyanga 15.moshi mjini 16.kyela Click to expand... Kuna baadhi ya hayo maeneo kama dar,joto lake unatoa jasho Lina unyevu unyevu so unatakata,maeneo mengine hapo joto lake ni kavu hutoi jasho unakua mweusi tii. Ila nilipo now ni nyuzi 39 C.
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,461 Reaction score 11,345 Sep 20, 2025 #42 Dudula said: Sasa kama kuandika tu hujui, utaijua mahali ilipo? Juma Kilaza na Mbumbumbu mkubwa we 😂😂😂 Click to expand... Wewe unakuja kutafuta LIKES JAMIIFORUMS kaka umekosea njia hebu nenda INSTA HUKO Member wapya mna shida sana🤣🤣🤣🤣
Dudula said: Sasa kama kuandika tu hujui, utaijua mahali ilipo? Juma Kilaza na Mbumbumbu mkubwa we 😂😂😂 Click to expand... Wewe unakuja kutafuta LIKES JAMIIFORUMS kaka umekosea njia hebu nenda INSTA HUKO Member wapya mna shida sana🤣🤣🤣🤣
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,461 Reaction score 11,345 Sep 20, 2025 #43 Vien said: Bomang'ombe iko mkoa wa kilimanjaro wilaya ya Hai kwa mh Freeman mbowe Click to expand... Sawa mkuu
Vien said: Bomang'ombe iko mkoa wa kilimanjaro wilaya ya Hai kwa mh Freeman mbowe Click to expand... Sawa mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 20, 2025 #44 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw