Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Tangu mchapike 4-1 inaonekana kile kipigo kiliacha madhara mengi ambayo yanaishi hadi leoHahahaha asa israel Ana timu gani ya maana
Mimi sipendi na siji kuipenda nyau fc
Timu ya taifa ikiwa na nyau wengi pia huwa naombea ipigwe kipigo cha mbwa koko
7. Moo fc! Hii timu kiukweli itanisamehe tu.
Ndo maana ni mkondefu (slim) huwez ichukie yanga ukanenepaTaifa - France
Club - Yanga, Arsenal , Barcelona
Ivi ile 4-1 ndo mlitoaga uongo ya dolla 10,000 kwa morison baada ya kuwa aliwachapa cha mkweziTangu mchapike 4-1 inaonekana kile kipigo kiliacha madhara mengi ambayo yanaishi hadi leo
Siku ambayo mtaamua kukubali kuwa wadogo na ku let bygones be bygones nahakika utabadili hiyo avatar
Tutajie na unazozipenda ili tuweze kuchangia vizuri.Mlemhala bhabha? Habarini wakuu?
Timu za taifa ambazo sijawahi kuzipenda, na wala haitatokea nizipende abadan.
1 Israel
2 Brazil
3 USA
4 South Africa
5 England, though akikutana na hao wa4 nitashabikia England.
Klabu nisizozipenda ni,
1 Liverpool
2 Real Madrid
3 Man u
4 Chelsea
5 Arsenal
6 Mamelody
Najiita slim kujifariji na unene uliopitilizaNdo maana ni mkondefu (slim) huwez ichukie yanga ukanenepa
Kama unavyo jifariji huwapendi mabingwa mara nyingi zaidi tz nimekuelewa sana mkuuNajiita slim kujifariji na unene uliopitiliza
Vyovyote vile kikubwa tumewaonesha njia kimataifa, msituaibishe.Kama unavyo jifariji huwapendi mabingwa mara nyingi zaidi tz nimekuelewa sana mkuu
Agost 13 mtaaibishwa tena ni suala la mudaVyovyote vile kikubwa tumewaonesha njia kimataifa, msituaibishe.
Achana na tar 13, Yanga mvimbe kimataifa kama Simba. Uwekezaji wa saizi sio wa kuangalia mechi ya mtani.Agost 13 mtaaibishwa tena ni suala la muda
Huko kimataifa yanga ndo tutakuwa wa kwanza kuleta kombe ww mwisho wako ni makundi na robo tu mkuuAchana na tar 13, Yanga mvimbe kimataifa kama Simba. Uwekezaji wa saizi sio wa kuangalia mechi ya mtani.
Oohoo, aisee... Muda mwl mzuri.Huko kimataifa yanga ndo tutakuwa wa kwanza kuleta kombe ww mwisho wako ni makundi na robo tu mkuu