Orodha ya timu nisizozipenda na haitatokea nizipende abadan

Orodha ya timu nisizozipenda na haitatokea nizipende abadan

Mlemhala bhabha? Habarini wakuu?

Timu za taifa ambazo sijawahi kuzipenda, na wala haitatokea nizipende abadan.

1 Israel
2 Brazil
3 USA
4 South Africa
5 England, though akikutana na hao wa4 nitashabikia England.

Klabu nisizozipenda ni,
1 Liverpool
2 Real Madrid
3 Man u
4 Chelsea
5 Arsenal
6 Mamelody
Mvaa kobazi bila Shaka , nilipoona Israel tu
 
Mtoa mada ni shabiki wa Manchester na Muislam mwenye itikadi kali. I can imagine jinsi anavyopata shida
 
Mtoa mada ni shabiki wa Manchester na Muislam mwenye itikadi kali. I can imagine jinsi anavyopata shida
Udini unakusumbua
Nakuona ukiumia kutoipenda timu yako, kuwa mvumilivu tu. Manchester ipi hiyo?
 
We utakuwa Muisilamu siyo Bure mmmmh

Kwa sababu nimelitaja taifa lako teule!! Kwanini msichangie bila kuingiza udini!! Mada haikuhusu pita pembeni bwana, waachie wengine wachangie.
 
nguvu Mada imeshaingiliwa wananishambulia,, kosa kuitaja nchi flani 😁
 
Timu zote za England.
Timu zote za Italia
Simba{MBUMBUMBU FC}
Namungo
Mtibwa
Coastal Union
Timu hizi hapo juu ni TAKATAKA**



Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hatari mzee, ila wao kukasirika moroco kwenya world cup hatusemi wameichukia kwakuwa wao wakristo

Ndio hapo sasa mkuu, Wengi wao hawakupenda Morocco na tunisia kwenda world cup, huu ubaguzi sijui utaisha lini.
 
Namba 5 itakupa jibu
Huoni England umeiweka kwenye timu za taifa ambazo umesema 'hujawahi zipenda na haitatokea uzipende abadani' halafu hapo hapo unasema utaishabikia England ikicheza na 1,2,3....Kwanini uishabikie wakati umesema 'haitatokea'.
Kiufupi ni kwamba hujui unachosimamia maana utaishabikia England ikikutana na Brazil kwa hiyo neno 'haitatokea' kuishabikia England inakuwa sio kweli.
 
Back
Top Bottom