Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
- Thread starter
- #61
Huoni England umeiweka kwenye timu za taifa ambazo umesema 'hujawahi zipenda na haitatokea uzipende abadani' halafu hapo hapo unasema utaishabikia England ikicheza na 1,2,3....Kwanini uishabikie wakati umesema 'haitatokea'.
Kiufupi ni kwamba hujui unachosimamia maana utaishabikia England ikikutana na Brazil kwa hiyo neno 'haitatokea' kuishabikia England inakuwa sio kweli.
Ndiyoo, haitatokea nizipendeee. Ilaa Endapo timu 4 hizo hizo hizi zikikutanishwa na england nitashabikia england.