Orodha ya timu nisizozipenda na haitatokea nizipende abadan

Yanga
 
Sawa mkuu ila next time pamoja na club yangu kuichukia Jina lake liandike vema, ni Mamelodi Sundown na sio MAMELODY
 
Mimi Sijawahi na haitakuja kutokea kupenda YANGA, REALY MADRID na Ivory Coast..never never KATU!!!

Naipenda Sana BRAZIL sababu ya Ronaldo De Lima (since 2002)

Naipenda Simba sababu ya Hasani Mgosi (since 2005)

Barcelona kisa Ronaldinho na Etoo. (Since 2006)

Cameroon kisa Etoo (since 2006)
 
Tangu mchapike 4-1 inaonekana kile kipigo kiliacha madhara mengi ambayo yanaishi hadi leo

Siku ambayo mtaamua kukubali kuwa wadogo na ku let bygones be bygones nahakika utabadili hiyo avatar
Unadhani ni mchezo hadi akaweka 4 :1 kwenye avatar
 
mashetani wekundu fc

boss kasusa fc
 
Maneno 'abadani' na 'haitatokea' ya nini sasa wakati kuna muda unaweza kuishabikia England , au hujui kushabikia ndio kupenda?
 
Huko kimataifa yanga ndo tutakuwa wa kwanza kuleta kombe ww mwisho wako ni makundi na robo tu mkuu

Sa kama as vita imeshindwa nyie yanga si as vita plus mtawezaje?
 
Maneno 'abadani' na 'haitatokea' ya nini sasa wakati kuna muda unaweza kuishabikia England , au hujui kushabikia ndio kupenda?

Muda wa kuishabikia England ni pale anapokutanishwa na number 1, 2, 3 na 4.
 
Alaaniwe aipendae [Yanga] na Man u. ALAANIWE.
 
Alaaniwe aipendae [Yanga] na Man u. ALAANIWE.

Mkuu Nsennah, samahani kama nitakua nimekukwaza. Naomba tuchangie bila kukomenti maneno makali na yasiyopendeza. Ni hivyo tu nkoi Nsennah.

Bhujiku ng'waka
 
Mkuu Nsennah, samahani kama nitakua nimekukwaza. Naomba tuchangie bila kukomenti maneno makali na yasiyopendeza. Ni hivyo tu nkoi Nsennah.

Bhujiku ng'waka
Mwishoni maana yake nini? Bhujiku ng'waka na hyo nkoi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…