Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
- Thread starter
-
- #61
Huoni England umeiweka kwenye timu za taifa ambazo umesema 'hujawahi zipenda na haitatokea uzipende abadani' halafu hapo hapo unasema utaishabikia England ikicheza na 1,2,3....Kwanini uishabikie wakati umesema 'haitatokea'.
Kiufupi ni kwamba hujui unachosimamia maana utaishabikia England ikikutana na Brazil kwa hiyo neno 'haitatokea' kuishabikia England inakuwa sio kweli.
Kwa hiyo huelewi kama kushabikia ndio kupenda?Ndiyoo, haitatokea nizipendeee. Ilaa Endapo timu 4 hizo hizo hizi zikikutanishwa na england nitashabikia england.
Nitaipendaje timu ya watu wasio na akili.Utopolo ya mazuzu watupu nayo Ni timu?Ndo maana ni mkondefu (slim) huwez ichukie yanga ukanenepa
Kweli mkuu jamaa hatuna akili ila tumechukua ligi, tunaongoza chukua ligi sasa sijui hao wengine watakuwa na Hali Gani kama mabingwa wa kihistoria tukiwa hatuna akiliNitaipendaje timu ya watu wasio na akili.Utopolo ya mazuzu watupu nayo Ni timu?
Simba mnyama💪
Liverpool the Reds, YNWA
Real Madrid
Raha tupu,uhakika wa ushindi Nyumbani na Kimataifa
Akili za uto zilipofikia,wapo kumkamia mnyama tuuu!Achana na tar 13, Yanga mvimbe kimataifa kama Simba. Uwekezaji wa saizi sio wa kuangalia mechi ya mtani.