Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Wewe unamiliki kiasi gani mkuu utupe insparation. NB majina sio halisi
Muongo huyo hakuna kitu kama hicho🤣 hawatoagi codekuna mmoja clasmate wa chuo juz trh 26 dec kanunua land cruiser mpyaaa new model na kazi hana!! kwa group anasema wekeza izo uku buku usidharau
Nani ndo anaamua wakati?Kila mtu muda wake ukifika njia zake za mafanikio zitafunguka.
Leta code mkuu30M kwa mwaka ni figure ndogo sana
Leta30M kwa mwaka ni figure ndogo sana
HakikaCha muhimu walipe Kodi
Sio kila mtu, kuna wengine Watakufa bila kuona fanikio lolote kwaoKila mtu muda wake ukifika njia zake za mafanikio zitafunguka.
Yani kumiliki hiyo gari ya shamba ,nikitu Cha kushangaza mpaka useme ni uongo???!!!Muongo huyo hakuna kitu kama hicho🤣 hawatoagi code
Yani kumiliki hiyo gari ya shamba ,nikitu Cha kushangaza mpaka useme ni uongo???!!!
Inategemea yupo wapi lakini🤗 mahali upo nchi ,mkoa au wilaya inaweza athiri upatikanaji wako wa pesa bila kujali kujituma😂😂uongo upo hapo kwenye kutunza buku buku alivyosema
Hizi ni nini? Annual income? Net worth? Bank balance? Projection or what?