Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Hivi wewe GT ndo Rostam Aziz mwenyewe nini?
hahaha duh yawezekana pay roll inafanya kazi mkuu we nyamaza tu kuwa mtazamaji kama wengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wewe GT ndo Rostam Aziz mwenyewe nini?
Sasa unategemea waziri mkuu au waziri wa fedha apige kelele za nini bungeni? Na haya leo tunayaona pia kwa Mramba ambaye akiwa waziri wa fedha amepeleka miradi ya ujenzi wa barabara jimboni kwake pesa ambazo zilitakiwa zitumike kujenga barabara sehemu nyingine.
Niliwahi kusema kuhusu RA na Bungeni, sio tuu hajawahi kuchangia, bali kipindi anachohudhuria kikao cha Bunge, akikaa sana ni siku 3 tuu. Sijawahi kumuona zaidi ya siku 3 mfululizo. Yeye na mkono, huja Dodoma na ndege zao. ya Mkono huridi Dar kusubiri kuja kumchukua. Ya RA humsubiri hapo Airport ya Dodoma.
RA haulizi swali lolote kwa sababu matatizo yote ya wananchi wake anayamaliza mwenywe kwa fedha yake ya mfukoni.
Pia hachangii hoja yoyote kwa vile kichwani hamna kitu, hata ukimuona kwa macho tuu usoni, hilo utaliona wazi.
Kuna baadhi ya wabunge hawachangii lolote kwa sababu wamesusa baada ya kukatiwa ulaji. Ila pia kuna wasio changia kwa sababu hawaoni umuhimu wowote kuchangia japo vichwani wako fiti, lakini kuna hawa wasiochangia kwa vile vichwani hawana kitu, japo pesa wanazo.
Hivi kweli wananchi wakielimishwa kuhusu majukumu ya mwakilishi wao Bungeni, bado watawachagua mabubu?.
Remember jamaa ni Oxford Graduate! uliza heshima na entries requirements za wanaotaka kujiunga na Oxford.....
kweli kabisakwani kuuliza swali sifa?
Wananchi wanaowakilishwa kama wanapata maji,dawa, shule,na mengineyo maswali ya nini?
Hao wanaoluliza maswali kila kukicha wamefikia wapi?
Asikudanganye mtu, kama ni kuleta maendeleo jimboni RA amefanya makubwa kuliko baadhi ya wabunge wanaoongea sana Bungeni
kwani kuuliza swali sifa?
wananchi wanaowakilishwa kama wanapata maji,dawa, shule,na mengineyo maswali ya nini?
hao wanaoluliza maswali kila kukicha wamefikia wapi?
John Komba yeye amewahi kuuliza au kuchangia lini???
Au yeye anachangia kwa nyimbo?????????
2010 wadanganyika watamrudisha tena.Pesa kweli sabuni ya roho atawapepea na vijisenti then tena huyo bungeni kupiga miayo na miusingizi huku akusubiri posho.Hivi wewe GT ndo Rostam Aziz mwenyewe nini?
Yaani miaka 4 hata kufungua mdomo hakuna! Huyu jamaa yuko bungeni kwa maslahi yake binafsi tu wala hana shida na maendeleo ya wadanganyika. Yeye ni kwenda bungeni kutengeneza chanels zake za kuinyonya hii nchi tu basi. Rostam Aziz ni hatari sana kwa maendeleo ya taifa letu. He is too wicked I can say.
haya mambo ya kulazimishana kusema sijui yametokea wapi
Mwakyembe na kelele zake kawapelekea wananchi wa jimbo lake maendeleo gani?