Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 939
- 1,460
Anapikwa kiaje? Angekuwa mgeni wa chama asingeweza kumshinda Mrema kwa kura zote zile. Acheni tabia za uCCM, onyesheni demokrasia ya kweli. Au mmemuonea kwa kuwa ni mdada?Tulia. Acha Mrema akapambane kiume maana kule Segerea kunahitajika msuli. Lambert anapikwa kimkakata. A aandaliwa kimfumo kama kina Upendo Peneza na Halima Mdee! Chadema haiwezi kufanya mistake kwa maslahi ya fulani bali inajipanga kimfumo.
Na wakongwe wa kweli hua hawaburuzwi kiboya kisa tu waonekane makada watiifu na wakiogopa kumuuzi mwenyekiti kwa maamuzi yake ya hovyo.Una mihemko na mapovu sana, wakongwe wa kweli hawana hizo sifa.
Ingekuwa kushinda kura za maoni ndio kigezo peke yake pasingekuwa na haja ya kupeleka majina kwenye Kamati Kuu, mgombea ubunge angetamkwa pale pale baada ya kuhesabu kura. Kila chama kina strategies zake za namna ya kupata wabunge iwezekanavyo na inabidi sisi ambao sio wanachama tusiwaingilie.Huyo John Mrema si alishindwa kura za maoni ?Chadema hapo ndo mnapoharibu. Kigamboni hamjaweka mgombea ?Au mmewaachia ACT?
2015 Nafikiri ilikuwa Vunjo akamwachia Mbatia.
[/QUOn
Ni kweli ilikuwa vunjo ila hakumwachia alishindwa ni moja ya malalamiko ya Mbatia kwa ukawa kuwa chadema iliweka wagombea hata kwenye majimbo waliyokubaliana kuachiana
Ila wakifanya upande wa pili mnawabeza na kunyemelea wagombea walioachwaIngekuwa kushinda kura za maoni ndio kigezo peke yake pasingekuwa na haja ya kupeleka majina kwenye Kamati Kuu, mgombea ubunge angetamkwa pale pale baada ya kuhesabu kura. Kila chama kina strategies zake za namna ya kupata wabunge iwezekanavyo na inabidi sisi ambao sio wanachama tusiwaingilie.
Amandla...
Kwanza moja ya makosa ya hivi vyama ni kuiga mfumo wa ccmSasa ww unaejua siasa unafikiri ni kwa nn vyama vyote katiba zao zinasema baada ya kura za maoni majina yatachunjwa na kamati kuu?
Ila wakifanya upande wa pili mnawabeza na kunyemelea wagombea walioachwa
Wanasubiria watakaokatwa CCMMbona majimbo mengi kimya?
Hivi chadema haikuweka mgombea Karagwe? What a joke!Hii orodha inasambaa kwa kasi ya mwanga mitandaoni!
Ameweka tu jina lakini hatopata hata kura ya mkewe#54 kazi anayo!
Kwa mfumo wetu ambapo chama kinamdhamini mgombea ni muhimu kikijihakikishia kuwa huyo mgombea ana nia na uwezo wa dhati wa kukiwakilisha bungeni. Hii ni kwa sababu jukumu la kwanza la mbunge ni chama chake na sio wananchi. Chama kina uwezo wa kumnyang'anya ubunge huo wakati wowote wanaotaka lakini wananchi wakimchagua ndio imetoka mpaka uchaguzi ujao.Kwanza moja ya makosa ya hivi vyama ni kuiga mfumo wa ccm
Baada ya kura za maoni walitakiwa kuheshimu maamuzi ya wanachama na kufatilia pale kwenye malalamiko au dosari .
Kasoro hizo sanasana utaziona chadema na ccm kupitisha wagombea ambao wana influence kwenye vikao vya maamuzi na hapa sikuilenga chadema peke yake hata ccm ina tatizo hilo sana
Kuonekana kitaifa wapi? Bila shaka Mwenyekiti ndo kajipa hilo jukumu la kumuandaa.Huyu dada anaandaliwa kama kina Upendo Peneza na Catherine Ruge. Kumpa jimbo kabla hajaonekana kitaifa siyo sawa! Tulizana.
Vipi Temeke na Kinondoni? Safi sana. Hogera CHADEMA kwa kukaba sehemu zote.Huyo John Mrema si alishindwa kura za maoni ?Chadema hapo ndo mnapoharibu. Kigamboni hamjaweka mgombea ?Au mmewaachia ACT?
Kiukweli huwa sipendi mtu ashindwe kura za maoni halafu huko juu wamteue kisa nikiongozi wa chama ngazi ya taifa, inakera na hapo CDM wanafeli.Huyo John Mrema si alishindwa kura za maoni ?Chadema hapo ndo mnapoharibu. Kigamboni hamjaweka mgombea ?Au mmewaachia ACT?
Wewe si unapiga Kampeni watu wasipige kura? Sasa mbona unashabikia list ya wapigiwa kuraList ya mwisho bado.
KaaaaaziHalafu kutwa kuwananga CCM hawana demokrasia...yule AGNESTA LAMBERT anapambana sana kuanzia chadema ni msingi mikoa ya kilimanjaro na singida.....kwa tetesi hata 2015 alishinda ubunge wa viti maalumu sema kamati ikafanya yake
Hizi porojo hazitakiwa hapo kubalini viongozi wamekosea, nahii inavunja moyo wanachama, kiukweli mmemkosea huyu dada nahamjamtendea haki kabisa, 2015 Mrema aligombea Moshi huko ingawa sikumbuki jina lajimbo kwa nini asingerudi huko?.Tulia. Acha Mrema akapambane kiume maana kule Segerea kunahitajika msuli. Lambert anapikwa kimkakata. A aandaliwa kimfumo kama kina Upendo Peneza na Halima Mdee! Chadema haiwezi kufanya mistake kwa maslahi ya fulani bali inajipanga kimfumo.