Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Hata huko ccm wapo walioshinda kura za maoni lkn watatemwa
Tena watakata wengi tuu kwa SABABU sio Kama CDM Dada Kama huyu mpambanaji anae kubalika na wengi mnamuangusha Bila sababu, harafu mnaimba mtaiangusha CCM
Kwanza usinichoshe siku nyingine usiwe unafaanisha CHAMA na UKOO WA WATU
 
But we need to have a guiding principle to make our decisions; and in deciding who is to stand for contesting the constituency, opinion polls are central! are the guiding principle for that matter!
Stop contradicting yourself, don't turn and twist your argument.
 
Sijui wewe na wenzako mmeanza lini kufuatilia haya mambo, ni zaidi ya myajuavyo, na siku zote hayahitaji mihemko wala hasira, Mbowe na wenzake wana experience ya kutosha kwenye hayo mambo, uchaguzi wa mwaka huu ni zaidi ya mlivyozoea kabla, wacheni watu wajipange.
Mimi ni mkongwe wa Segerea huyo Mrema hamna kitu hapo hata kujieleza kwenyewe hajui wala hana convicing power,Mbowe amemng'ang'ania lkn hamna kitu pale unless unataka kuleta story za ukereketwa wa kikuda wa kukubaliana kila ujinga wanaofanya wakina Mbowe ambapo hapo unakua hauna tofauti yoyote ile na CCM kwa kushindwa kua mkweli kisa tu mwenyekiti amesema.
 
Nakuunga mkono kwa hilo (ingawa huwa tunapishana) . Mimi ni muumini wa CDM/upinzani, lkn kwa hili la John Mrema, hapana. Kama ameshindwa kura za maoni, basi!
Kwa hesabu hizi hizi, kelele itakuwa kubwa sana pale Makonda atakapopewa nafasi ya kuwa mgombea!
 
Idadi ya majimbo ya Tanzania ni 264. Chadema ina weka wagonbea kwenye majimbo 163 tu.

Chama kimeshindwa kuweka wagombea kwenye majimbo 101. Pengo hili lisaidie kuwaonesha ukweli, Chadema na wafuasi wake, kuwa hawawezi hata kidogo kubeza ushirikiano na vyama vingine. Watapata nguvu iwapo watashirikiana na wenzao. Vinginevyo wasahau hata kujiita chama Kikuu cha Upinzani.

Hata kwenye majimbo mengine wameweka wagonbea poyoyo. Huyo mgombea wa Bukoba Vijijini ni poyoyo na corrupt. CCM wanaweza kumhonga wakati wowote wakiona anakuwa tatizo kwenye anga zao. Jimbo la Segerea wamekosea kumuengua mgombea youthful and popular aliyeshinda kura za maoni.

Ninawashauri wajitathimini upya. Wapitie upya malengo yao kwa vipaumbele, kwa kuzingatia variables za idadi ya halmashauri (madiwani), ruzuku baada ya uchaguzi, ushindi wa kiti cha Urais na kadhalika. Watofautishe ambitions na objectives. Watumie sayansi badala ya hisia, wawe wakweli (candid) kunapokuja suala la kushirikiana na vyama vingine kama ACT Wazalendo. Waache tabia za ujanja-ujanja (tabia za kichuuzi - market speculative/entrepreneurial thinking).

Bado Wana muda wa kufanya marekebisho.
 
Halafu kutwa kuwananga CCM hawana demokrasia...yule AGNESTA LAMBERT anapambana sana kuanzia chadema ni msingi mikoa ya kilimanjaro na singida.....kwa tetesi hata 2015 alishinda ubunge wa viti maalumu sema kamati ikafanya yake

Hawezi kutupwa amechanga karata vizuri mrema akishinda au akishindwa viti maalum atahusika
 
kupitia hiyo Orodha nimeona anguko la CHADEMA katika Uchaguzi huu wa 2020
 
Maskini cdm wanatia huruma. 2015 walitufanya wajinga asilimia kubwa ya wagombea walitumika kama mtaji. Watu walipoteza mali zao kugharamia kampeni wakihadaiwa kua lowasa atatoa 30milioni ktk kila mwezi wa kampeni.
Sikujua walikua wakimaanisha nini maana hakuna pesa iliyotoka. Leo wameshtukiwa wamejaza wamama kibao.
 
Yule dada wa Chatto aliyekuwa akikesha kulinda bendera ya Chadema isishushwe na vijana wa CCM na alijitoa mhanga kusema, ama zao ama zetu, mmemtupilia mbali eeh?? Siasa si uwanja ulio sawa aisee!!
 
Halafu kutwa kuwananga CCM hawana demokrasia...yule AGNESTA LAMBERT anapambana sana kuanzia chadema ni msingi mikoa ya kilimanjaro na singida.....kwa tetesi hata 2015 alishinda ubunge wa viti maalumu sema kamati ikafanya yake


Huyu amepelekwa Kyerwa maana kula kulikosa mtu imara una lingine?
 
Maskini cdm wanatia huruma. 2015 walitufanya wajinga asilimia kubwa ya wagombea walitumika kama mtaji. Watu walipoteza mali zao kugharamia kampeni wakihadaiwa kua lowasa atatoa 30milioni ktk kila mwezi wa kampeni.
Sikujua walikua wakimaanisha nini maana hakuna pesa iliyotoka. Leo wameshtukiwa wamejaza wamama kibao.

Wamejaza ama wamejijaza?
 
Rorya haipo au kule anapogombea Ezekiel Wenje ni kanda gani, si kuona jina au mchakato bado?!
 
The kind of mistakes you would not expect CHADEMA to make..but surprise surprise!!...

Btw sijaona jimbo la Tarime na Rorya. Nadhani list haijakamilika kwa kanda ya Serengeti.
Nadhani watakuwa aidha wamejitoa huko kwa kuona maji marefu au wamemwachia Zitto na chama chake. Tusubiri watakuja kuliweka sawa.
 
Back
Top Bottom