Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Ila kuna wakati CHADEMA nao wanazingua sana yaani hata Shinyanga mjini hawajaweka wakati Sisi tunajua aliyeongoza kura za maoni ni Mhe. Makamba. Wakituletea Katambi wakati alishaunga juhudi tunayapa ma-CCM tena! Wasituone sisi wajumbe ni Umbwa!!
Tulia hawamu ya pili inakuja
 
Mwaka huu hakutakuwepo na mpasuko mkubwa ndani ya CCM utokanao na majeraha ya kura za maoni kwa maana mtu akikatwa na ngazi za juu hata kama alikuwa anaongoza kura za wajumbe hana pa kuhamia kwenda kugombea nafasi hiyo.

Ni hakuna kutangatanga una-chill au unahamia huko kuwa mpenzi mtazamaji.
Unajidanganya, hujasikia kina Ntimizi wametoka Tabora kwenda Zanzibar kuomba kujiunga na ACT?
 
anakubalika? anafahamika? msifanye mambo kwa ushabki!

Hio ni hoja ya ukichaa, wasiokidhi hayo maswali hawakupaswa kukidhi vigezo vya kutia nia ndani ya Chadema Mbowe Mtei Kilimanjaro.
 
anakubalika? anafahamika? msifanye mambo kwa ushabki!
Nani aliekwambia kushinda kwenye kura za maoni ndio kushinda uchaguzi wa jimbo? siasa sio kama unavyojumlisha moja na moja halafu unapata mbili, tulieni na wenzio.
 
angekuwa anataka viti maalum asinge gombea level hiyo. ni upumbavu kutetea ujinga na uhuni huu. Na aliyeshinda viti maalum naye atapewa nini?
so kumbe wanapeana na sio kuchaguliwa?
Hasira za nini, hizo zinaitwa "political calculations", ni zaidi ya zile za darasani, kunywa maji mengi utulie.
 
Nani aliekwambia kushinda kwenye kura za maoni ndio kushinda uchaguzi wa jimbo? siasa sio kama unavyojumlisha moja na moja halafu unapata mbili, tulieni na wenzio.
But it makes a perfect reflection of what the majority think of you! Hawa wajumbe wanatokea kwenye wapiga kura, kama hakuna rushwa inatoa picha kukubalika kwa mtu! Mrema Seger anamjua nani?
Mimi sina interest na yeyote, maana niliko hata influence yangu haiwezi kufika huko. We are talking of the reality on the ground for the benefit of CDM /and upinzani in general! Nitakutafuta 28 or 29 October tuyajadili tena kama hivi!
 
Kwa Mrema wamezingua big time,wamekua wakilazimisha sana Mrema apite sijui ni kwanini.

Mbowe na wenzake wamezingua kishenzi yaani ile kishenzi.
Sijui wewe na wenzako mmeanza lini kufuatilia haya mambo, ni zaidi ya myajuavyo, na siku zote hayahitaji mihemko wala hasira, Mbowe na wenzake wana experience ya kutosha kwenye hayo mambo, uchaguzi wa mwaka huu ni zaidi ya mlivyozoea kabla, wacheni watu wajipange.
 
But it makes a perfect reflection of what the majority think of you! Hawa wajumbe wanatokea kwenye wapiga kura, kama hakuna rushwa inatoa picha kukubalika kwa mtu! Mrema Seger anamjua nani?
Mimi sina interest na yeyote, maana niliko hata influence yangu haiwezi kufika huko. We are talking of the reality on the ground for the benefit of CDM /and upinzani in general! Nitakutafuta 28 or 29 October tuyajadili tena kama hivi!
Huwezi guarantee kama angepitishwa huyo dada angeshinda uchaguzi, silaumu hayo maamuzi kwa upande wangu, na hilo la kusema nani anamfahamu Mrema Segerea sijui kama umewahi kufanyia research au ni hisia zako tu.
 
Siwashangai kufyeka. Walimfyeka mtu 2015 huko simiyu wala cha juu wale top wakaweka aliyewapa shekeli wakaangukia pua
 
Political science is not a pure science since it involves human variables/behaviours which do not follow scientific principles. Hivyo huwezi kila kitu kikaamuliwa kwa research per se! Casual observations can determine the day!
 
Target ni strong cabinet ya kumshauri Mh Raisi Tundu Antipas Lissu. Yule dada anaingia viti maalum ili kupata uzoefu wa kutosha
Kwanininalichukua fomu ? Anakubalika kuliko huyo wenu ambaye angepewa viti maalum
 
Political science is not a pure science since it involves human variables/behaviours which do not follow scientific principles. Hivyo huwezi kila kitu kikaamuliwa kwa research per se! Casual observations can determine the day!
Gud, ....if it doesnt follow scientific principles, then usishangae kwanini Chadema wamemuweka Mrema Segerea.
 
Unajidanganya, hujasikia kina Ntimizi wametoka Tabora kwenda Zanzibar kuomba kujiunga na ACT?
Paragraph ya kwanza ina jibu la kile ulichokiandika.

Nimesema,"Hakutakuwepo mpasuko mkubwa".

Means mpasuko utakuwepo huo wa kwenda vyama "underdogs" lakini kama CDM ingefungua milango,hali ingekuwa kama 2015 au zaidi.
 
Gud, ....if it doesnt follow scientific principles, then usishangae kwanini Chadema wamemuweka Mrema Segerea.
But we need to have a guiding principle to make our decisions; and in deciding who is to stand for contesting the constituency, opinion polls are central! are the guiding principle for that matter!
 
Back
Top Bottom