Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Mnyika Yule wa awamu ya kwanza,hii awamu iliyopita sijui alipatwa na niniPositives: kuona wabunge karibu wote wa viti maalum kujitosa majimboni sio wale wa CCM ambao wengine mwaka wa 15 sasa ni viti maalum tu!!
Nimesikitika kutomuona Mwambigija wa Mbeya, Nusrat kwa kigamboni, na Mnyika kutochukua fomu kabisa!! Kiukweli nitammiss bungeni alikua mjenga hoja mzuri sana.