Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Uchaguzi 2020 Orodha ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA Tanzania Bara Oktoba 2020

Yaani mtu wao kashindwa kura,still wamemuweka. Demokrasia ipo wapi ?
Tulia. Acha Mrema akapambane kiume maana kule Segerea kunahitajika msuli. Lambert anapikwa kimkakata. A aandaliwa kimfumo kama kina Upendo Peneza na Halima Mdee! Chadema haiwezi kufanya mistake kwa maslahi ya fulani bali inajipanga kimfumo.
 
Jamaa unazingua kwamba tumeshindwa kuweka wagombea, kwanza hauoni majimbo ambayo bado ni majimbo ambayo hatuwezi kukosa wagombea, mfano tu ni jimbo la nyalandu bado, jimbo la lissu, jimbo la Mnyika, kigamboni, mbagala, kinondoni, kilombelo hayo ni baadhi tu ya majimbo ambayo bado, bado majimbo 51 kwa tz bara ambayo yatatangazwa awamu ya pili, safari hii hatuachi kitu, si kata wala jimbo
Vyama vya kihuni utavijua tu
Chama kimeshindwa kuweka wagombea nchi nzima,eti orodha ya awamu ya pili,Kuna mnaomba mikopo bodi ya mikopo?
 
Vyama vya kihuni utavijua tu
Chama kimeshindwa kuweka wagombea nchi nzima,eti orodha ya awamu ya pili,Kuna mnaomba mikopo bodi ya mikopo?

Kutoweka wagombea nchi nzima ndio uhuni? Ama hujui maana ya uhuni?
 
Vyama vya kihuni utavijua tu
Chama kimeshindwa kuweka wagombea nchi nzima,eti orodha ya awamu ya pili,Kuna mnaomba mikopo bodi ya mikopo?
Cha kihuni?? subiri uone uhuni wao
 
Pongezi CDM Wagombea wenu wamepatikana bila RUSHWA. Chama tawala ondoeni wala rushwa wekeni majina ya wagombea Safi hapa.tukikutana na Akina ole sendeka,sajini,muhongo,gambo,sashisha, Ibrahim 6, priscus kimaryo,Dr mathayo David,Kimei, Adolf mkenda, shabby, Abood, kurwa biteko,nyeti ,akso tulia na wengine ,haya majina na wengine waondoeni kukusaidia chama na serikali ya awamu ya tano.
 
Back
Top Bottom