Orodha ya Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa Tanzania "TISS" Tangu uhuru

Andaa kalamu kwa utulivu....
 
Hv wakat ndege zetu zinakamatwa kana na south Nan? Alikuwa mkuu wa TISS? Hao waliozikamata wangeweza ata kumkamata raisi Magufur akiwa kwenye ndege hizo!!
 
TRA imeanzishwa na Mkapa, nakuweka sawa tu uelewe hilo.
 

Siangeimwaga baharini kama sukari na uhujumu uchumi wa Sokoine.
 
Kitendawili kinabaki kwenye mauaji ya Kombe! Eti walihisi ni Jambani jamani
 
ripoti ya serikali ndio ripoti ya mwisho, kama una wasiwasi unaweza omba uchunguzi huru toka FBI
Mgambo wa sisiemu katika ubora wako,hamtaki hata ku reason nyie ni kutetea tu kisa huto tunguo twa mabaka mnajikuta mshaliza kila kitu!
 
Hv wakat ndege zetu zinakamatwa kana na south Nan? Alikuwa mkuu wa TISS? Hao waliozikamata wangeweza ata kumkamata raisi Magufur akiwa kwenye ndege hizo!!
Kukamatwa kwa ndege hizi kulikuwa na faida moja kubwa kwamba zilitusadidia kuweza kuwajua watu wazuri tulionao kwenye mambo ya NEGOTIATIONS kwenye maswal ya kimataifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…