Orodha ya Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa Tanzania "TISS" Tangu uhuru

Orodha ya Wakurugenzi wa Usalama wa Taifa Tanzania "TISS" Tangu uhuru

Mbona hujasema kuhusu Dr. Hassy Kitine alivyofurushwa kutoka TISS.

Alivyotoka vitani uganda kumuondoa Idd Amini, alikuja na Pegout vijana wa TRA wakambana kodi mpakani akasema yeye ni Director General wa TISS hivyo hawezi kulipa kodi, habari zikamfikia Mzee Mchonga, akaomdolewa kesho yake tu!

Miaka mingi baadae Hassy Kitine mwenyewe alikiri kuwa alifanya kosa la kipuuzi sana!
Hakutokanayo Uganda mkuu alinunua nje wakati amekwenda kusoma ilizuiwa bandarini
 
DG~TISS
Wengi Wanatokea Nje Kama Ilivyo PCCB Ingawa Wengi Hawajui
 
Haya matamanio uliyonayo, tayari ni disqualification.

Wanaopata na wanaoelewa hata hawatamani kwenda zaidi ni shida ya ajira tu.

Ila mwenye uelewa kabisa wa mambo hawezi kutamani kujiunga na hiyo kazi, ni wachache watanielewa!
Maskini unamfunidisha kupika mpishi😂😂😂😂
 
Mke wa elisifa ni mwalimu wa sm na mke wa mwalukasa ni mwalimu sm
 
Back
Top Bottom