Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
Acha kuwatisha vijana hyo ni kazi kama zilivyo kazi nyingine. Isipokuwa tu labda jinsi inavyofanywa na mchakato wake wa kupata ajira ndio inaowafanya watu watamani lakini ni kazi tu kama kazi nyingine.Haya matamanio uliyonayo, tayari ni disqualification.
Wanaopata na wanaoelewa hata hawatamani kwenda zaidi ni shida ya ajira tu.
Ila mwenye uelewa kabisa wa mambo hawezi kutamani kujiunga na hiyo kazi, ni wachache watanielewa!