Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru

True

Kwa wakati mmoja Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa na CDF walikuwa Viongozi wa Kanisa!
CDF kaandika mpka kitabu cha dini, kina uzwa huko kwa wakatoliki na pesa zote zinazo patikana ni kwa ajiri ya kanisa, hachukui hata sent

 
Polen sana kwa kuwa na ubongo unaotafsir mada zao ni za kidin.


Siye wengine tunajifunza jambo kupitia wao.

DINI YAO WATAJUA WAO.
 
Kwa miaka 35 tangu uhuru hadi mwaka 1996 hakukuwa na sheria ya TISS?
Kwenye nchi zetu za Commonwealth Ilikuwa ni "Special Branch", chombo cha Ikulu. Pengine walikuwa na sheria zao huko ndani, lakini formally hakuna kokote ilikuwa inajulikana.
 
DSTV kuna mpaka Majambazi wa Silaha ambao huo ujambazi ni sehenu ya Kasi zao

Umewahi kupata kuelezwa namna Hayati Prof Nikas Mahinda aliekuwa Mbunge wa Morogoro alivyovamiwa na kuuawa nyumbani kwake?
Umenikumbusha hili tukio wakati limetokea lilizizima Morogoro ila sikuwa na utambuzi mkubwa. Naomba nikumbushe mkuu kama hutajali.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
CP Msuya amekuwa The worst DG to be, With all resources ila still Ameruhusu Amiri jeshi Mkuu kuondoka mikononi mwake, Ila pia interesting ni kuwa Vijana wa Zamani walikuwa so ambitious imagine Mahiga amekaimu Ukuu wa idara nyeti kabisa at 35 Age, Njoo kwa Kitine nae at 36, Ila kwa sasa kijana wa miaka 35 kumuamini ni Ngumu sana mana Mzee alijaribu kuwaamini watu kama Makonda,Sabaya na Hapi ila matokeo yake wote tumeyashuhudia
 
Una uhakika? 😡😡🙄
 
Kwa maneno mengine Msuya ndiye aliyemwua rais. Amefeli majukumu yake.
 
Ni hospitali iliyo chini ya idara ya usalama wa taifa, kama ilivyo Hospitali ya Lugalo kwa JWTZ na hospitali ya Kurasini Baracks kwa jeshi la polisi.

Imepewa jina la mzena kumuenzi mkurugenzi wake wa kwanza wa idara aliyeitwa Emilio Mzena
Hospital hiyo ipo wapi??
 
Kwa miaka 35 tangu uhuru hadi mwaka 1996 hakukuwa na sheria ya TISS?
Kimsingi TISS imeanzishwa wakati wa Mkapa.

Kabla ya hapo kulikuwa na "Kitengo Maalum" cha watu wasiojulikana kilichofanya kazi nje ya sheria kama sehemu ya Ikulu.

Nakumbuka kwa sababu hawa wengine ndugu zetu tulivyokuwa wadogo tulijua wanafanya kazi Ikulu tu.
 
Kwa maneno mengine Msuya ndiye aliyemwua rais. Amefeli majukumu yake.
Rais hataki kuvaa barakoa in the middle of a pandemic wakati ana matatizo ya moyo na mpaka wasaidizi wake wa karibu wanafariki kwa Covid-19.

Anawashushua wanaovaa barakoa, mpaka kanisani, hataki chanjo, hataki watu wapimwe. Hataki isolation.

Kapigwa daflao unamlaumu Msuya?

Hapa ni case ya "Mwana kulitafuta, mwana kulipata" tu.

Msuya anaweza kuwa na matatizo mengi, lakini kifo cha rais Magufuli alijitakia Magufuli mwenyewe kwa uzembe wake na ubishi wake wa kukataa sayansi, licha ya kuwa na Ph.D ya Chemistry, na kuendekeza propaganda za siasa.

Kwa kweli ukiangalia matatizo yake ya moyo, Magufuli hakutakiwa hata kugombea kazi yenye mikiki kama urais, kagombea urais kwa sababu ya uroho wake wa madaraka tu.

Sasa mtu kama huyo ambaye hashauriki wala hapangiwi, akifa, utamlaumu vipi Msuya?
 
Yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…