Orodha ya Wakurugenzi Wakuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) tangu Uhuru

Unaweza ukaongelea kidogo hii misheni namna ilivyotekelezwa, kama taarifa zake siyo classified?
 
Mhaya, Jack Zoka amewahi kuwa naibu tu basi. Hakujawahi kuwepo DG mhaya. Nimemtaja Zoka kwa sababu yeye mwenyewe aliwahi kujitokeza hadharani kumjibu dakta Slaa enzi zake. Ila kwa mujibu wa sheria DG ndio inaruhusiwa kujulikana kwa maafisa wote wa TISS na hii ni kwa mujibu wa sheria.
Hata zile mbwembwe za 2016 kutambulishwa kwa Bob Makungu(RAS) kwamba ni naibu sijui zilitoka wapi? Amestaafu ubalozi Canada. Yuko wapi huyu mzee?
 
True

Kwa wakati mmoja Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa na CDF walikuwa Viongozi wa Kanisa!
Lakin pia ndo wakati mauaji mengi yalitokea,na utekaji wa watu wasiojulikana! Sasa je Ni makanisa ya Mungu au shetani?
 
kwa hiyo jina la Mzena Hospital limetokea hapa kumbe !!
 
Wa pili ni Dr. Lawrence Gama (PhD). Huyu alipokea kijiti kutoka kwa Mzena. Aliongoza kwa miaka mitatu tangu mwaka 1975 hadi mwaka 1978, kabla ya Mwalimu Nyerere kumuondoa katika nafasi hiyo na kumteua kuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma.
na hatimaye Mkuu wa mkoa wa Tabora... ndiye aliyehamasisha ujenzi wa uwanja wa michezo wa Ally Hassan Mwinyi Tabora.
 
Toka TISS akuanzishwa kuna taasisi nyingine inayo weza kuhipata kwa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…