Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

Hahaha shule yangu ya kata haina hata mwalimu wa kiswahili na geography wa sayansi ndo usiseme inamaana hawalijui hili?
 
Tangazo mbona halielewekiii?kwan walimu wa sayansi wapo wangapi?kama wapo 4000 arts andikeni maumivuuuuu
 
ajira zimetoka ula kwa walimu wa masomo ya Sayansi Shahada na Stashahada tu

Walimu wa masomo ya Arts muwe na Subira kidogo
********************
 
Back
Top Bottom